uzuli nilianza kuiyona fb lakin ningeanza humu ningesema kwl doto nimdogo wa mwish kama jina lake doto kumbe AI 🤣🤣🤣
2026-07-30 02:01:39
6
Super kid :
Ni kweli kabisa maana nakumbuka niliwahi kwenda kijijini na babu yangu akaniambia "mjukuu wangu haijalishi comment yako haina maana kwa vyovyote vile bado kuna mtu ataisoma mpaka mwisho" 😂😂
2026-07-30 08:06:15
2
To see more videos from user @nduvastudios, please go to the Tikwm
homepage.