@ajahaezmat:

Hikmat Ajaha
Hikmat Ajaha
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 21:44:50 GMT
134993
3319
156
1108

Music

Download

Comments

user40297696124344
Rahma Said 🥰♥️ :
hivi elf 35 ya Zanzibar ndo hii ya huku bara?? maana watu wanavyoliaga wametoa elf 50 hawajapata kitu najiulizaga sa mbona huku unaweza kuchangia laki na usiende ukumbini afu shega tuu.
2026-07-30 08:56:50
76
lubna1592
prodact :
ukifatilia familiayake kunawatu kibao wanashida kuwasaidia aaaa duniamapito
2026-07-30 04:40:27
83
hidaya.mohamed11
Official Hadrathy 💞 :
SEM WANZANZIBAR WAROHO JMN 😁
2026-07-30 08:53:34
39
rayuu2585
Reneyz💞miy💞 :
hiyo ndo Zanziba, iga ufe🥰
2026-07-30 04:21:59
29
meme255_00
meme255 :
Hadi maharusi watafilisika 😂😂😂
2026-07-30 03:09:07
9
user292190129130
ummy :
kw hali inavoend hii mwish tutapew viwanja umu maholin
2026-07-30 08:26:47
11
t..shop.pointer
T.shop pointer :
mnaona sifa wenyewe maisha tunayqfqnyq magumu kwa vitu visivo na maana tubadilikeni ugumu tunauleta wenyewe wa maisha.
2026-07-30 11:03:21
5
ummusummaiyyah
ummusummaiyyah :
hamjui huwa Mtu anaamua kutoa bajeti yake zaidi piga hesabu kanunue kibegi kanga kisinia alaf uone ni sh ngapi sema mwenye shughuki anaamua kuwafrahisha wageni ila sio kwa bajeti ya 35,000
2026-07-30 04:11:07
9
bellaartist3
Bella artist :
Mnawaumiza Walt’s 50 wakapt soda😅
2026-07-30 14:10:09
2
nasra_015
Nasreen moh'd :
Siku mmoja Nilienda dukani kwa rafik yangu anasema kuna watu wameenda kuchukuwa vitu vya milioni 8 bado milion 4 wakamwambia kuwe watatunzwa asubuhi watarejesha Mpk Leo hawajaenda kumpa hela zake kujithalilisha tu
2026-07-30 05:25:10
14
ummybachu57
ummybachu57 :
mama kajipangaaaa
2026-07-30 10:53:47
1
ima72802
ima :
kajitahid
2026-07-30 05:01:05
2
user974690523825
suleiman driver taxi zaznzibar :
hamkomiii na nyieee😁😂😂😂😂😂
2026-07-30 08:27:33
2
eveloly
eveloly🍭 :
mbona mie sijawahi alikwa hizi harusi pamoja na nimekaa zanzibar miaka yote hii 😩😩😩😩
2026-07-30 07:59:50
8
namtalh_collection
Namtalh Collection :
Mnaishi Nchi gan wenzent?🤣
2026-07-30 12:24:33
1
mohammedameirissa2
mohammedameirissa7 :
mbunifu asilia
2026-07-30 07:39:11
4
user2295529394423
Ma Muda Ma Muda❤️ :
sio kwetu dar🤣🤣
2026-07-30 11:39:37
1
didahdimpl3s
Didahdimpl3s :
👌Mambo pambe zawad pambe🥰mezani kumenoga 👌👌👌👌
2026-07-30 10:13:44
1
swaleh1436
ابو فوزان طالب العلم :
najua hayiwahusu nimepata gold kwenywe mitumba hhhhhhh 🤣
2026-07-30 12:20:42
2
cool.stuff210
cool stuff :
yaani wazanzibar jamani ,kwa hiyo ukichangia elf 50 hata km unaumwa au umepata shida lazima uende kufudia hela yako, mbona elf 50 kwa dar ndogo sana hiyoo mtu xnachangia mpk laki na haendi huko kwenye shughuli kuweni na Imani basi
2026-07-30 11:57:39
1
vifaavyacake
cake tools🎂 :
sasa faida yake nini
2026-07-30 10:37:48
1
oreem41
reem :
ila jmn me mbahili atar arus naenda kwenye akdi tu ayo mengne soyangu
2026-07-30 11:17:52
1
dii255679
Baby_Dii🦅 :
sifaaaa
2026-07-30 08:08:00
1
fa2mrisho
Fatma Binti Mrisho :
natamani kualikwa kama hii
2026-07-30 06:46:48
3
lunya655
lunya :
kawaida Sana
2026-07-30 04:03:37
3
To see more videos from user @ajahaezmat, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About