@theevilzeus: DERBY ambayo team moja ilibebwa na kusababisha vurugu kubwa #simba #yanga #tanzania #footablll #tanzaniafootball

rais.wa.masingle
rais.wa.masingle
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 22:09:49 GMT
73264
4374
26
18

Music

Download

Comments

aggie20202
Aggie :
tumeanza kuonewa siku nying jamani
2026-07-30 06:36:24
37
ibs90965
ibs9096 :
Ila YANGA BINGWA 😁
2026-07-30 10:42:38
5
mayah.xlymn
mayakim :
Hii siku nilienda uwanjani na mama ang mdogo mbona tulipoteana🤣🤣
2026-07-30 16:50:54
3
tigwimen12
Gadee👟😎 :
nyuma mwiko tangu mwanzo ndio zao
2026-07-30 04:35:52
13
traveller_abou
Traveller Abou :
Dah nilikua uwanjani kama boll boys siwezi kuisahau hii😂😂😂
2026-07-30 17:05:18
2
mama.jamsheed
Mama jamsheed :
hii nilikuwa uwanjani siwezi kusahau.. nilishika viatu mkonon nilitoka mbio tuling'oa viti vipiiiiiiii😂😂
2026-07-30 08:08:49
9
safiimpendawatu
SHUKURANI QUALITY FURUNITURE :
ndiomaana lig inapoteza MVUTO
2026-07-30 11:59:24
3
omarikibabu
matorito :
Hii nili endaga ebana ilikuwa noma
2026-07-30 09:10:38
3
anitha.nyamwiza
anitha nyamwiza :
kumbe ndio sababu ya kung'oa viti
2026-07-30 10:42:42
4
t.donna7
T Donna :
YANGA BINGWA 💛💛💚💛💛💛💚💚💛💚💛💚💚💛💚💚💚
2026-07-30 14:54:21
3
safe_mak
safe_ :
Yanga kwenye ligi ya tanzania imependelewa mara nyingi kama sio zote
2026-07-30 14:29:43
2
miraji1585
DIGGO, ❤️ :
Hilo litajirudia mwaka huyu, Simba hatokubalitena upuuzi wa marefa na waamuzi kwa ujumla,🤣
2026-07-30 11:05:45
3
adibar.184
God's lastborn🥱 :
na ubingwa wa msimu huu nao tusemeje
2026-07-30 09:38:15
3
chibu99616
chibu996 :
Umetukumbusha mbali sana bloo
2026-07-30 08:35:02
2
kimsarang367
kimsarang😇😇 :
Kunapoelekea ipo cku mabomu yatarushwa tena🙌🙌maana Simba tunaonewa sana
2026-07-30 08:38:05
2
bin.othman27
Bin Othman :
hii mechi iliniuma sana
2026-07-30 08:26:44
3
baehunie5
baehunie5 :
viti vilitolewa baada ya red card ya mkude kulalekiiiiii😁😁😁😁😁😁
2026-07-30 06:16:42
3
27chakali
🫥 :
vyura ni toka mda sana wanapigwa teke
2026-07-30 09:01:56
1
muuh_mois
Muuh_Mois :
🔥🔥🔥
2026-07-30 05:56:57
2
sheni.buhaga
sheni buhaga :
😂😂😂
2026-07-30 09:06:20
1
To see more videos from user @theevilzeus, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About