Msikilize uvunje ndoa yako.ndoa ni mpango wa Mungu,na mpango wa Mungu hautenguliwi na chochote
2026-07-30 05:53:58
15
husna kidee :
Allah knows how am I,, am proud of it
2026-07-30 09:14:08
0
Ukhty halima :
madada wa kazi tupooo tunatamba na kazi zetu🤣🤣
2026-07-30 04:26:42
38
Janielux 🤎 :
dah
mbona mnatukatisha tamaa ivo jamaniii
2026-07-30 06:18:54
6
QUEEN MIRA🥰🥰 :
Tunashukuru Kukula pia Bure kuzala Na boss byote tuna shukuru ata Kazi atufanyi siku zingine ila boss atufukuzi alhamdulillah tuna shukuru bro ata wewe Una dada kazi🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-30 06:10:07
4
warda sheby :
ume ongeya u kweli kabsa
2026-07-30 05:55:32
1
Saumu Alawi :
Alhamdulillah nimeolewa kwa ibada Allah ndo amenipandisha daraja binadam mwenzangu hanisumbua aib ataona yy❤️❤️🤣🤣
2026-07-30 07:35:19
4
Jamila :
kwaiyo unamaanisha tuachike au
2026-07-30 07:44:11
4
Mwanaidi Omari :
kwahiyo unataka tuache kazi au
2026-07-30 10:06:57
0
Kidawa Hilali :
Alhadulilah nimeridhika na udada wangu wa kazi kikubwa sizini nikamkera Allah