fact bro,uixh miak 100 umeongea point xn
kipengl n ma aqnt
2026-07-30 06:03:01
0
last born :
longlife brother 🥺
2026-07-30 10:42:04
0
Lelah Wabu :
Ila kwa mm siwasameh off yng had kesho kwa mungu siwez nikafany kaz bila off kwa 7bu wameandika tukifany siku ya off tulipwe rial 5 so wangenilpa tu hela yng
2026-07-30 04:33:32
17
💛💛sweety ❤️❤️ :
wallah kaka umeongea kweli mtupu sana akuna cku ambayo cto isahau kama nilikuwa naumwa na ni kalazwa bc cku ya pili ni kaamsha niendelee na kazi sina budi kucema tu alhamdulilah na jua akuna mwanzo uco kuwa na mwisho 😭😭😭😭
2026-07-30 07:08:14
5
ام لقمان :
daaaha inaumiza saa jamani migongo inauma jamani 😭😭😭😭😭😭😭😭 vichomi kila siku
2026-07-30 03:15:31
26
Mom Ammar 💝💝 :
yani kwenye mkataba wanasema kuna off lkn ukija huku mungu wangu 😔 Yani achana na kupewa Hy oof hata muda wakupumzika mchana pia baadhi ya watu hatupewi ukimwambia ajent anakwambia wewe umekuja kupumzika au kufanya kazi kwahy maajent pia kuna muda walaumiwe hawataki kuckiliza shida za wafanyakazi 😭😭
2026-07-30 04:01:30
4
ChadidyMsafi13🦁 :
kuhusu off hakuna kazi kila siku haijaalishi unaumwa na endapo hujaenda kazini unakatwa mshahara na ukiangalia mshahara tunalipwa kam mwezi w 7 tunalipwa mwezi wa 8 tena mwishoni yani mtihani kw kweli
2026-07-30 04:04:34
3
TURU CLASS :
Hili swala linaumiza sana mtu anamkataba miaka 2 lakini hakuna of hata siku moja mwili una hitaji kupumzika wa naumia sana japo kua ni kutafta riziki lakini huruma iwepo
2026-07-30 03:35:19
9
2boyz❤️💕 :
Yani ungepewa usemaji kaka tungekuwa pazuri sana, uishi miaka mingi kwa idhini ya Allah🙏🙏❤️
2026-07-30 03:49:02
18
naylaty 💞 :
Kuna mfanyakazi mwenzenu mkenya anatokaga kila WIk alafu me nashangaa sitokagi😢😢
2026-07-30 05:11:46
3
tumabby🥰🥰 :
na nihak yetu ikifika mwaka tuengezwe mshahara wallah mtu hakuengez bc asikuengze mtu kila ki2 unajiuhudumia mwenyweo kwel
2026-07-30 02:13:18
1
user6730198562223 :
Tuseme ukweli t maajenti wakeshakuleta huku hawana msaada wwte mana unaweza kupeleka kesi hawajali kabsa Zaid kukiblock t kwaiyo hapo sisi tunaofanya kazi tuwe wavumilivu t mana tukisema tuseme ao maajenti tunaumizan kichwa ila namshkru mungu japo sipati ijaza yakuranda lkn atilisti nilienae anahuruma kidg naomba mungu anipe moyo waiman na uvumilivu nimalize salama t lkn kuhusu ajenti mm Sion msaaada wwte nipo km mm mungu atulinde t🤲🤲🤲
2026-07-30 02:10:59
5
Peeli Mohd :
Ila mungu ndio kimblio letu
2026-07-30 04:59:09
9
yatima wa bet mama :
yaani kaka umeongea ukweli kbc.
2026-07-30 02:03:44
4
hawa :
nimelia kwa uchungu sana sana hakuna jinsi kwa sababu mimi masikini ninaetaft hata ukiumwa kazi mbele Allah ndo ngao yetu anayesimama nasi kikubwa uxima.
2026-07-30 06:06:18
4
mwarab wa wakishuwa 💓✅ :
sahihi kaka
2026-07-30 02:32:31
3
Azeyyy :
mie tangu juzi naumwa na kazi kamakawaida na fanya
2026-07-30 06:55:45
0
Tifa :
kweli miili inachoka miaka2 hata ukiumwa unafanya kazi🙏🙏
2026-07-30 09:51:10
1
Libya 🇱🇾 🇹🇿 :
mimi siwasamehe off yangu wala mda wa mapunzko sipew ila allah atanihukumia kuanzia dunian mpka kwa allah na allah atawahukum
2026-07-30 05:22:37
1
isha Oman🇴🇲🇹🇿 :
napendaga sana maneno yako unaongeaga pwenti sana kaka nataman raisi Samia akuajiri uwe msimamizi wa maajenti naamini ungezibiti yote haya
2026-07-30 04:24:45
3
Milfat R mutrah❤️💕 :
Wanachojua kudai mshahara wa mtu wakwanza na hawajali kuhusu wafanyakazi🫡
2026-07-30 06:17:18
3
hadija nyan'ga nyan'ga :
nikweli kaka
2026-07-30 03:21:57
1
Biana Risasi :
mashaallah mashaallah kaka MUNGU akulinde
2026-07-30 03:55:55
1
ALI BABA UNDER 18 :
kwel kabisa brother Asante kwa kutuwakilisha
2026-07-30 04:50:29
1
🥰🥰🥰 mamy faa :
kwel maajent ndo wanao tumiza
2026-07-30 04:57:32
1
To see more videos from user @bishir_1, please go to the Tikwm
homepage.