@barickvicent: ORODHA YA WAIGIZAJI WA BONGO MOVIE AMBAO WAPO KWENYE MAHUSIANO YA KIMAPENZI KWA SASA { ILI KUPATA Fullu video nenda YouTube kwenye channel ya 7swahili } Kwa matangazo ya biashara tupigie number 0612901770 Asante kwa kuwa ndani ya Familia ya 7swahili 💝 #Love #ti̇ktok #tiktokindia
Barick Vicent
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 03:10:07 GMT
Music
Download
Comments
phina :
tunao amini ni uongo tujuanee🤣🤣
2026-08-01 19:19:11
190
Queen bahati :
mbona sija ona nyuki na moven hapo
2026-08-11 08:10:40
6
Yusra Khalifa :
uongo mwingi
2026-09-03 20:03:37
11
Official. Hassan.Msuji. :
Siulisema baba joan namdoli ni ndugu
2026-08-19 10:44:28
12
Babe girl🇹🇿 :
kwani huwaga mnatuchukuliaje sisi[Thinking]
2026-09-23 03:41:25
3
Said Kasanda :
vaileth c mke wa kicheche
2026-07-30 09:55:35
6
HAPPY💜 :
mwanzoni nilianza kuamini ila nilivyofika kwa manyanya na vai na kuendereaa nikasemaa basiii amn kitu apa uongo.Mtupu
2026-10-16 07:49:32
2
Arafa Ibrahimu :
kaaaah jamani hivi huyo ni yusuf mlela😂😂😂
2026-08-06 18:11:20
2
kisubi Sady :
mbona tunachanganyana akili ivi lakini
2026-08-01 19:23:05
4
Salma Shabani :
leo ndo nimejua kua nyie niwaongo, baba joani ana mke
2026-07-30 15:17:22
7
chantal Suzana :
Uwongo mutupu 😏😏😜😜
2026-07-30 05:43:17
7
mr. bon :
ĸp na,zeвυυ vp
2026-08-02 04:49:25
1
ma frola :
anatafut lake huy
2026-10-11 19:29:10
1
rehema :
sasa mupenzi watwizi dady nawa keep biko wapi ?
2026-09-17 15:09:53
1
Yvette Jacques baraka :
hongereni wapendanao
2026-10-09 15:41:56
1
samweldeo :
acha uongo
2026-08-26 17:55:51
1
A cute 🥰🧚 :
labda ki movie bhana msidanganye apa😂😂😂
2026-08-21 16:58:59
1
mama Denis :
mbn sijamuona kp wakwino
2026-08-24 17:11:29
1
Phatuma Zonga :
sasa katika john na sandra kumbuka john wap wawil yule aliye badilishwa na huyo yup mchumb yak sandra saa[Teary eyed]
2026-09-12 21:24:23
1
Isack bihemo Msirikare :
mmmm sio kwk😅😅😅
2026-08-30 20:31:56
1
dayana mushy :
hiyo ya manyanya ns Vai ni uongooo
2026-08-03 22:33:20
2
thank you 💕 :
waoo nawapenda nyote
2026-08-18 16:45:16
1
Udhaifa :
jamani mnatuchosha sijuwi mwambie baba joan na mdori ni kaka na dada ae mbona ivo
2026-07-30 18:30:44
2
six truth :
acha umbea😁
2026-07-30 17:17:56
2
jeskagroly :
waoo nawaenda
2026-08-20 08:26:57
1
To see more videos from user @barickvicent, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.