yesu naomba unisamee licha ya kuwa najua kwamba uliteseka kwa ajiri yangu bado nazidi kukukosea naomba unisamee sana
2026-07-30 09:27:20
14
miliam :
mi ndio ningekuwa yesu mjered huo ningekuwa tiali nimekufa kabla ya kuingia msalabani Ee MUNGU nisamehe mimi nakuludisha mala kwa mala msalabani kwa makosa yngu
2026-07-30 06:34:27
2
itz_. dat.gal :
YESU nisamehe sana na bado nazidi kukuchoma Kwa dhambi zangu 😭😭😭nisamehe Bwana wangu🤲🤲
2026-07-30 05:53:48
2
Ester ✨ :
🥹 inatisha
2026-07-30 13:45:34
0
stella :
Ee YESU WA EKARISTI TAKATIFU naomba unisamehe mimi pamoja na familia yangu yote
2026-07-30 11:00:46
1
jomboy :
amen Mungu tusaidie tufike kwako na tuishi nawe
2026-07-30 10:45:27
0
Boaz'son :
duh inauma halafu tunarudi dhambi tu
2026-07-30 04:54:21
1
Dee lover❤️📲 :
iyo misumat
2026-07-30 04:54:18
0
Ezraeli Edward :
EEMUNGU nirehemu
2026-07-30 13:28:52
0
Unique star⭐️🌟🌠 :
kwa ajili yake tumepona sisi tunashukuru
2026-07-30 09:20:41
0
@Biruksi _💪 :
asante shamaa
2026-07-30 17:36:09
0
Edgar sinkalla :
hii hinaumiza sana kwa kuteswa kwa ajili yetu lakini watu hatuoni bado tunatenda Dhambi bila kujali tusamehee MWENYEZI MUNGU
2026-07-30 16:18:12
0
Miss giraffe 🦒 :
Ee Mungu tuhurumie dodo🥺🥺🥺🥺
2026-07-30 11:09:35
0
shantelaiden :
mmevitoa wapi kwanza
2026-07-30 15:56:02
0
Anderson Helman :
kwan hvyo vitu havichakaagi tu hata kutu hakuna aiseee
2026-07-30 13:17:29
0
Young seeker✊️🦾 :
😭😭🛐🙏🙌
2026-07-30 10:23:12
0
Happiness :
🙏🙏🙏
2026-07-30 11:13:54
0
ESTHER BOUTIQUE 🛍️ :
😥😥😥😥😥
2026-07-30 13:38:17
0
To see more videos from user @faith_revival_, please go to the Tikwm
homepage.