@fatuma9499:

feyma kimbaombao
feyma kimbaombao
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 06:10:48 GMT
236983
14081
756
122

Music

Download

Comments

veronicajosephj54
🌹mummy ale💝 :
aweeee
2026-08-09 13:11:22
0
allanbea
Teddy bear 🐻 :
ambao bado hamjazaa msikurupuke jmn...ukishakuwa mzazi tuuu kila kitu kinabadilika
2026-07-30 17:27:07
288
elizabeth.shirima0
Elizabeth Shirima :
wot tulio tok kupambn kwaajili ya wa tto wet Mung atutangulie 🙏
2026-07-30 15:09:44
629
annyeunice1
Anny :
Mungu saidia niione period baba mwisho wa mwezi kesho nashindwa kwalewa😭😭😭
2026-07-30 19:37:12
75
user94963136029536
binti cash :
inauma sana ,kuna ile unamuacha alafu unaend kuolew kwingne pia ni inauma sana
2026-07-30 13:50:58
106
user4290848141763
Ney kawishe :
kazn ukute kz ya ndan
2026-07-30 20:18:32
9
maggiemic1
maggie :
ukiwa unaondoka hakikisha unavyotokq mtoto asikuone wanaumiaga sanaa
2026-08-09 11:02:41
8
esterpeter71
Ester :
tulioacha watt kwenda kutafuta tujuane
2026-07-31 15:12:54
60
balibinajoseph
balibina og 😘😘🫶🏻💝 :
wote wahanga natamaini niishi na wanangu lakini sina maisha😭😭
2026-07-31 15:52:45
9
shanysalumlongwa
Shaa :
😂😂mmh kwenye sm yako hakuna L
2026-07-30 18:31:29
58
user8732253342534
mama b :
tulioingiaa reba tunaerewa iyo
2026-07-30 18:17:36
21
harun12983
harun12😘♥️ :
me wakwangu nilivoendaga mda wa kuondokaga nililiaga yaaani nikamwagalia mwanangu yaaani naomba atusaidie sisi ma single mother tuje tukaae na watotoo wetu
2026-07-31 08:16:18
22
angelmazola5
Angel Mazola :
Tusooomeee jamani tusomee🤣🤣🤣🤣🙌
2026-07-30 19:29:47
7
user6394743182947
eveline :
nimejikuta nalia tyu mungu nisaidie nije kumchukuwa mwanangu niishi nae dah😭😭😭
2026-07-30 18:33:14
13
selebless
selebless :
mungu atupe ujasili single mother tunapamban bil kukat tamaa 💪🙏
2026-08-01 11:33:10
6
hadijamfinga
Hadija Mfinanga :
dah cjuw Kam mim nitaweza kukaa mbali na mwanangu
2026-07-30 19:24:53
11
mejawsfamly
mejaw'sfamly :
umenkumbusha mm nlioga tu mtoto akanambia mama skuach nkampa hela akakataa kwel nilili😭😭😭😭😭😭😭 japo nienda ila alnfanya kwenye bas nilie kama vle nmefiwa duh Mungunatusaidie wanawake wote tunaopambana sku Moja tuish na watoto wetu
2026-07-30 16:15:26
22
violeth.kwilasa
Violeth Kwilasa :
afu kuna wakina sisi mpaka leo mtoto ananiita Dada🤣🤣
2026-07-31 10:25:11
6
amina.mbuwa
Amina Mbuwa :
Wallah namie nimeacha wangu singid napanda gari alilala chin kilio mpka nimefika daa sinaham jmni uwii mungu wanyanyue singo mama wate maana siopoa
2026-08-01 13:07:55
6
user6337161672305
miss 🍓🍓🍓 strawberry :
ilikua ivo kwangu siku ntaondoka mwanangu nae akakimbilia ndala zake akawa anaosha nakusena MMA tunaenda wote nilipitia mlango wantuma Niki mwangalia kwambali uku machozi yakinitoka ana kuja kustuka kua sipo tayali nimeondoka mda mlefu nakuanza kumsumbua bbi yake namtaka mama yangu
2026-07-30 15:42:17
31
rizzymeliyo
mama jordan :
mimi nilimuachaa tokaa ana mwaka nanusu sasa hivi anamiaka kumi
2026-07-31 03:46:42
5
angel51045
Angel😇❤️ :
nmshukuru mung wanangu naishu nao lakn nimeumia🥺
2026-07-30 18:16:57
5
anitha.rose7
Anitha Rose :
mm nilimtoroka jamn sikutaka alie japo inaumaa cnaaa
2026-07-30 14:19:58
12
stellayeremia696
Stella Yeremia :
me nilikuwa naondoka usk lakin alishituka akaanza kunililia had nilitamanbkuhailisha safar daa yaan haya maisha
2026-07-30 16:22:54
5
loml379
Loml💝🥰😍🫂 :
dada mungu akutangulie hata sisi tuliwaacha wakilia na ss tukalia safarin ila mungu atusaidie sote tunao jitafuta mbl na watoto wetu🙏🙏
2026-07-30 17:30:45
6
To see more videos from user @fatuma9499, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About