yaarabi umuondoshee kila maradhi huyu mjawako kama ulivomuondoshea nabii ayubu amiin inshaallh😢😢
2026-07-30 09:09:18
48
Mrs Ruiyah :
ammmin ammmin
2026-07-30 15:18:39
2
Cute mamy 🥰🥰 ❤️🩹💔❤ :
ya allah mpee shufaaa kaka angu ali ismail nakuomb ya allah mnyayue kiumbee chako
2026-07-31 04:26:51
6
Arapha Manda :
Allah akupe siha njema kaka tumekumisi mzee wa kafara
2026-07-30 08:57:16
7
Asia Selemani :
Allah akujariye shifaa kaka yangu
2026-07-31 08:10:19
2
Semeni Abdalla Semeni Abdalla :
Amiim
2026-07-30 14:47:40
5
user42378050828191 :
mungu akujalie kher ndugu yangu
2026-07-30 16:03:09
4
cute maya :
Allah atakuafu inshallah
2026-07-30 10:56:21
3
ummuajmal93 :
mi ananimalza zaid na ile mkataa kwao mtumwaaa laa haulaaa naipenda balaa MashaAllah❤️
2026-07-31 19:08:24
1
khadijakomba16 :
utapona tu inshallah
2026-07-30 15:57:34
2
S@ykh@m :
amiin
2026-07-30 15:43:38
2
Shubiha Seleman :
Allah anasema tumuombe na atatupa nshaallah na ww tunakuombea atakuponya kikubwa subra Kaka ni Allah anakupima Iman yako2 Kwa sababu maradhi ni miongon mwa mitihan anayotupa Allah nshaallah utapona
2026-07-30 21:33:57
2
mwanacutey :
mungu akuinue apo kitandan tume kumiss
2026-07-30 10:31:27
2
mid_soon😷 :
mungu atakuaf ishall
2026-07-30 06:40:43
1
Rehema Shabani :
jaman allah atakusaidia utarudi katika hali yako ya hapo awali inshaallah
2026-07-30 15:40:11
2
muhsin boy :
mungu atmuafu ishalla😭😭😭
2026-07-30 06:28:25
3
Mrs mwalim :
utapona inshaallah
2026-07-30 13:27:19
1
user6516905170370 :
Pole kaka inhumane sna kaka ila ndio binaadamu ss
2026-07-30 06:38:08
1
user2486155531729 :
kweli toba ipo tusikate tamaa katika mitihani
2026-07-30 10:07:22
1
Raniarti 🥀🥀😍 :
Allah akupe shifaa insha'Allah upone harak urudi kweny majukum yak tumekumiss 💔💔😭😭😭😭 kwel nimeamin ukiwa mzima hun budi kumshukur Allah, insha'Allah utarudi kweny hali yak Allah akuepush na kila baya na hasad
2026-07-30 12:54:25
1
💞 mamy raa 💞 :
Allahuma amiin 🤲😭
2026-07-31 20:09:29
0
Fatma Khamis :
ameen
2026-07-31 21:18:45
0
To see more videos from user @fakihmbarouk, please go to the Tikwm
homepage.