Ila miaka ile Twanga ilikuwa ya moto nimewakumbuka akina Adolf Mbinga, Abuu Semhando, Rogert Hega Katapila, Luiza Mbutu Nyoni, Ally Choki, Msafiri Diouf, Banza Stone
2026-07-30 18:41:12
6
C N Breezy 🦅 :
Nakumbuka enzi hizo asubuhi nimefungulia radio one napasha kiporo cha ugali na kisamvu chenye utumbo wa ng’ombe 😂😂
2026-07-31 06:33:54
2
Nicklas Wa Simon :
maana ya kuitwa Alichoki ni alichoki kwel ili jamaa alizeeki aloo
2026-07-31 10:41:35
1
WATINDE27KJ :
ntakuwepooo mlimani
2026-07-30 15:41:32
1
James_unisex_salon :
Wimbo wa ukweli show ya ukweli
2026-07-31 15:08:26
1
Wigs by siwi :
Hii nyimbo inanikumbusha mbali Daah maisha haya
2026-07-31 12:25:41
1
gally :
mzeee wa FARASI
2026-07-30 14:26:21
4
dalali goba chesco :
when music was music,ni noma ilikuwa nyimbo yakutongozea akikataa bas hujaiimba kwakumaanisha
2026-07-30 17:40:13
1
Malagila Michael :
Lwiza Mbutu
2026-07-31 03:42:30
2
Emanuel Ndalu :
wakal wa izi kazi 🔥
2026-07-30 14:33:49
4
khajaykankala :
Nakubali
2026-07-31 09:15:39
1
MWALIMU WAWASUSITANZANIA :
mme uwa baba
2026-07-31 06:40:19
1
John :
nimeipenda iyo 👍👍👍👍🥰
2026-07-31 06:07:14
1
Rikanga shoes store :
huu ndio mziki sasa
2026-07-31 09:07:50
1
mr.collabo1988 :
twanga pepeta yetu....🔥🔥🔥
2026-07-31 04:49:38
1
mr.collabo1988 :
hatar sanaa.....🔥🔥🔥
2026-07-31 04:49:16
1
Mama Business 💙🩵 :
hii nyimbo ilikua hatali sn
2026-07-31 03:04:38
1
eng.lukundamya :
enzi hizo 🥰
2026-07-30 22:05:03
1
Bety Makombe :
🥰
2026-07-30 16:19:17
1
zuhuranyamtondo :
mod wape tena nafasi awa jamaa
2026-07-31 11:31:34
1
user42410655236887 :
nyimbo hiyo tunaijua miaka mingi sana labda hamna nyimbo mpya mnarudia rudia hiyo
2026-07-31 10:17:58
0
light :
Aloooo👌
2026-07-31 16:36:41
1
To see more videos from user @papaa.marsha1, please go to the Tikwm
homepage.