@mifugo_podcast: 🐄 MAZIWA SI MBADALA WA MAJI KWA NDAMA WAKO. > Maji husaidia tumbo la ndama kukomaa mapema na kumsaidia kuanza kula mapema na kuwa na afya nzuri mda wa kumuachisha kunyonya. > Maziwa na maji vina kazi tofauti kwenye mwili wa ndama > Imani ya kwamba maji si mazuri kwa ndama si ya ukweli #mifugo #ufugaji #mifugotz #ufugajiwakisasa #daktariwamifugo

MIFUGO PODCAST ⛎
MIFUGO PODCAST ⛎
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 06:19:31 GMT
340
17
2
0

Music

Download

Comments

nguyeemmanuel
nguyeemmanuel :
Kweli hata mimi nilikua siwapi maji, ngoja nianze leo kuwapa maji nitarudisha mrejesho.
2026-07-30 08:03:07
1
user7421543175445
KAMANDA YUSUPH :
ni chakula gani ambacho kifaa kwenye mbuzi kwenye mchanganyiko kula wawe vizur wanenepe
2026-07-30 09:20:41
0
To see more videos from user @mifugo_podcast, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About