@hiphop_neverdie73: Tega sikio tuliza ndonga upate madini na Nyandu tozzy, hapa ameongelea kuhusiana na swala zima la kuheshimu mitaa haijalishi wewe nani na una cheo gani, tajiri ama masikini akimaanisha kuwa mitaa ina nafasi kubwa sana kwako, nimependa sana hii kauli kwani ata unapofanya kazi ule mshahara wako utakuja tu kuutumia mtaani kama madukani na pia ata unapopata tatizo mtaa asilimia ndo utakuwa wa kwanza kukusaidia let's say tuchukulie ukidondoka ghafla.. so Tuheshimu sana mitaa✊ #knowlwdge #viralvideos #trendingvideo #viral_video #tiktokviral