Nakumbuka nililia siku yakufa mustafa. Mpaka niliumwa kichwa. Na nikasema nikipata mtoto namuita mustafa
2026-08-19 09:54:45
18
FX_nana📈📊 :
Amn sku niliwah lia km hii na ile sk anakufa mustafa jmn😭😭😭😭😭😭😭
2026-08-19 17:29:36
8
Sada Khan :
Me aliniliza shahzade Mustapha😩😩😩
2026-08-13 17:10:28
1
bintyseif :
kwani sultan alimuua Ibrahim kwa nin na alikua ni. swahiba wake
2026-07-30 09:31:56
3
Khalfan Hemed :
azam bora wairudishe hii kuliko ile merlin walioileta
2026-08-21 18:47:15
1
Mrs 💍Jumaa🫶♥️ :
Ile siku sikulala nilikuwa nampenda sana huyo ibrahimu
2026-08-06 22:16:04
3
miss faty :
mm nilikua team pasha jmn
2026-08-20 22:44:33
0
salhia🦋🤩 :
iludiwe tuuuuu🥺😭😭😭😭
2026-08-21 07:56:05
0
ms_.charms🦋 :
irudiwe
2026-07-30 08:08:02
2
h.sam🦋 :
achaaa tuu😳
2026-07-30 12:02:34
0
gadaf :
ibrahim pashaaaa
2026-08-20 21:38:14
0
towtowlee :
Nimeumiaa zaidii anavyokufaa Mustafa Akustahiliii Kufaaaaa😭😭😭😭😭
2026-08-20 13:05:44
0
Driss GraVi :
mahmet vp
2026-08-24 12:24:27
0
Mrs💍Saleem❤😩 :
Nililia sn hii sk dah🥹🙌🏻
2026-08-08 21:41:09
1
hadijah Ausi :
Hii cku nililia San na nd mwish wa kuiangalia hii tamthilia niliumia San zaid ya San😭😭😭
2026-08-19 08:08:04
2
alena frank :
mustafa ndy aliniliza
2026-08-20 23:13:13
0
Sada Khan :
Cjui kwann watu walikua wanampenda huyu ibrahim pasha me nilikua simpendi hatar kwanza alikua anauchu wa madaraka hadi akawa anajiita sultan yan huyu alikua anataka kumpindua sultan pili alikua anamcheat khadija akazaa nnje na nigarkhalfa tatu akawa kikwazo kwa hurrem😂
2026-08-13 17:09:47
4
nihan :
Jmn tuombeni urejeshwe hii Tamthilia ni zaid ya nzur🙏
2026-08-26 09:46:28
0
Man Roja Ndu Ttu :
hi move nailtje
2026-08-20 08:46:30
0
mkatessi7 :
Japo nilikuwa team Hureim niliumia sana
2026-08-19 18:43:01
0
happylissa :
Hata mm kwakwel
2026-08-19 17:43:25
0
Mwajuma Duha :
hii siku nililia mno 🥲
2026-08-19 11:54:48
0
Mrsgerod 🥰🥰 :
daaaah m nililia sana wakat anapiga kelele kuomba msaada
2026-08-18 15:15:46
0
Felister Spear :
nili Lia jaman 😭😭😭
2026-07-30 16:20:07
0
To see more videos from user @maru_rashidy, please go to the Tikwm
homepage.