Nshawahi fanyiwa hvo ,ukiishi tanga hizi mambo utazielewa tu
2026-07-30 07:48:12
191
loveness love :
naomba number za mama ako anifanyie na wangu
2026-07-30 13:11:45
37
Jl_Mimer🦋 :
Mambo ya mazongo jamn nimetoka kwetu juzi wandeleee nilipigwa moja nilijuta kwann niliend nyumban
2026-07-30 07:33:46
105
Irene kafem :
Nd nn jamn
2026-07-30 18:03:49
0
East_African_Sailor :
looooh
2026-07-30 15:52:13
1
Sabra :
kila kitu ni imani ss tupo tanga na wala hatuyajui haya
muhim duwa tu kwa watoto na ww mwenyewe
2026-07-30 14:56:25
13
Elizabeth Geo🏆 :
mama dee jaman si utuelekeze na sisi vinavyowekwa jamani tuwafnyie watoto wetu.mi nataka ata mniite mchawi 😁
2026-07-30 16:28:36
6
angelson💍💞 :
zongo nd nn jamn
2026-07-30 10:39:51
1
Najma :
2026-07-30 09:22:38
16
NUSRATY COLLECTION 🛍🎀♌️ :
ANATOA ZAKEEE ZONGO MASHAAAALLH ❤️
2026-07-30 15:06:26
0
Official Mrs Ramadhan😘 :
Chezea zongo wewe 😂😂😂😂😂 mchawi mwenzangu nimekuelewa sana
2026-07-30 13:42:55
8
Salma Alrawahy :
zongo ndio nini wapenz
2026-07-30 11:46:23
12
Amishhassan :
mm namuomba mamangu aishi maisha marefu inshaallah
2026-07-30 15:39:21
6
Yasmin Mohamed8608 :
Ndio mambo ya watu wengi kutoa zongo au dege la asada watu wstanga wanafanya hivyo wawtu wengine wanafa nya ya mafuta na maji na wengine zatura bora mtoto au mtumzima limtoke zongu mambo ya kizamani hayo asili isidhauliwe mtoto adhakaa vizuri mashallah
2026-07-30 07:30:55
15
rukiaruky❤️ :
Hivyo vyeusi alivyoweka mala ya kwanza ni mkaa au ni nn naomba mnieleweshe
2026-07-30 09:42:48
5
Rey🌺 :
Yaan nilivoona tu povu linapikichwa nikawa nishaelewa😂. Ila Tanga🙌🏽
2026-07-30 13:18:37
7
🌸___Ms_sweve🩵🫧🖇️🫶 :
Sina hamu na tanga mazongo jamaniiii🥺
2026-07-30 14:10:16
5
user6072103853849 :
ata mm nakumbuk bibi alinifanyia
2026-07-30 15:47:41
1
D Og :
😂😂 nachekag na ile mitusi tyumie hoi
2026-07-30 17:06:03
2
tabby ❤️ 😍 :
vitoto vichuna mashaAllah 🥰
2026-07-30 19:15:27
2
it’s _raya🌺🌺 :
Wakubwa haifai🥹🥹
2026-07-30 17:49:14
1
laylat🌝 :
Wakaz watanga tunaelewa hy kt😂😂😂
2026-07-30 20:00:00
0
To see more videos from user @deekam_family, please go to the Tikwm
homepage.