@mtembezi_tnz: Suka usiseme Tusimame nataka kukojoa,Sema hivii “Tusimame kidogo nikague tairi kama ziko sawa kisha tuendelee na safari yetu”.Chukua hio🔥🤝🙌🏾 #tanzaniasafari #foryoupage #vipdriver #jifunzekitu
MTEMBEZI 🇹🇿✧˚₊‧
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 07:15:37 GMT
Music
Download
Comments
I knew it🇹🇿 :
well reserved
2026-07-30 08:56:48
1
Nkombe95 :
noted ✅
2026-07-30 07:42:04
1
Malalejr :
2026-07-30 07:22:48
1
denzopaa :
nakbalii 💪💪
2026-07-30 09:15:36
1
Subaru boy :
Hii watu wengi hawaijui 😂
2026-07-30 07:30:38
1
UNCLE J🧠💪🚖 :
UNAZUNGUKA KAMA WATU WA MISSION IMPOSSIBLE 😂😂🤣
2026-07-30 07:35:53
1
J🔟Ramaa= :
Mtoto wa mama mkwe anaita
2026-07-30 17:16:23
0
NYANGA 🇹🇿 :
hii ndio najua leo
2026-07-30 08:28:03
0
Minister transporter dodoma :
kaka katika pita pita zako ukiona kiwanja cha 50,000 nishtue
2026-07-30 08:55:50
3
Hamio Mtamike :
siku ukilenga mbuzi mmoja niletee kaka
2026-07-30 07:35:39
1
Mkomwa #Nembo ya mtaa :
Kaka kwenye hii nchi hadi sasa nafkiri huna haha ya map😂
2026-07-30 08:12:49
2
Official @_Mr ribs 👉💪👈 :
KAKA KWETU MAJI YAMEKATA NICHOTEE DUMU MBILI TU NINA JERO
2026-07-30 09:29:04
0
air :
kaka shortcut iyo🫣🫣
2026-07-30 07:37:41
1
Dady G✨🇹🇿 :
unakojoa zako kweny tairi kamakawaidaa yetu madavoo😂😂😂
2026-07-30 10:17:00
2
Mwafrika🌍 :
agiza soda
2026-07-30 09:52:54
0
GEORGE 360🇹🇿 :
Ukifika kwa mangi kunywa soda naja kulipa🤣🤣🤣
2026-07-30 07:29:32
1
arons 1Hz :
😂
2026-07-30 09:26:36
0
To see more videos from user @mtembezi_tnz, please go to the Tikwm
homepage.