ungeuliza how many kinds of bear hakuna ambaye angekosa 🤣🤣🤣
2026-07-31 08:00:20
1
d i z z y19 :
located wapii..??
2026-07-30 23:19:23
2
Legends Darius :
wenye hatuna clue let's gather here 😅🥰😂
2026-07-31 08:45:38
1
miss Lucie🖤💖😘💫 :
aman Christian center
2026-07-30 18:24:29
1
Annah Anifa :
Jeremiah 32:27
zaburi 46:1 Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu ,msaada utakaonekana tele wakati wa mateso
2026-07-30 14:25:34
18
Oswald Tusekege :
ulipo tupo hahahahaha
2026-07-30 14:52:15
0
Amosi leonard Segese :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂me nachoka mm jaman
2026-07-31 00:00:25
1
🗣Tito from heaven🇹🇿 :
hii nimeipenda usiache kufanya challenge hizi ni zuri sana😂😂😂
2026-07-30 08:10:44
16
Yes you can :
jaman jaman jaman tusome biblia😂
2026-07-30 19:56:12
18
fst born wa juliana 🥰💓💓 :
Sio lazima ujue exerct bora unajua kitabu na andiko kamili,,,kumbuka wakati Yesu alijaribiwa alikuwa anasema na hakutaja kitabu lakini alimshinda shetani
2026-07-31 09:05:08
3
neema :
napenda kuijua Biblia vizuri lakini nikianza kusoma nasinzia na nisipo sinzia nasoma tu kama hadithi tu zile za hapo zamani za kale palikiwepo na hiki na kile yaani nakasirika mimi 😒
2026-07-31 10:48:23
0
𝔸𝕞 𝕆𝕔𝕥𝕒𝕤𝕠𝕟 :
kwakweli hilo andiko linatoka ila sina uhakika kamili 😂😂😂
2026-07-31 10:34:25
0
Anne Lungazo :
uliza msabato atakuambia😂😂😂😂
2026-07-31 10:07:53
0
Dada wa kaka zangu ❤️ :
😅😅😅ila me ningeweza yote
2026-07-31 08:04:13
0
Kaleb Duma :
Sjawahi kubaatishwa 😂😂😂😁😁😁
2026-07-30 07:56:01
2
MGURUS_MLIMWENGU :
2026-07-30 18:00:06
1
Oswald Tusekege :
huyu dada wa mwisho ni mke wa God bless Munissi eeh
2026-07-30 14:54:11
4
DENIS_255 :
kwisha wewe😂
2026-07-30 17:51:31
2
Big Fesh :
Utaelewa tu pole pole 😁😎
2026-07-31 05:17:46
1
MAMA_ROY🌹🕊️ :
biblia ilivokubwa vile mtu atashika wapi aache wapi mtuache bana
2026-07-31 05:03:55
2
Emmaboe001 :
jamn hata kama sijui mistar ila hiyo ya MUNGU KWETU SISI NI KIMBILIO NA NGUVU MSAADA UTAKAOONEKANA TELE WAKATI WA MATESO,, huwo mstar sisahau maan kila j pili ni kama chai lazm tuuimbe liturujia😁😁😁 na kama mnataka nitaanza liturujia kuanzia mwanzo hadi mwisho😁😁😁😁
mch. TUMUOMBE BWANA KATIKA AMANI
ush.BWAANA UTUREHEMU
Mch.EE BWANA TUNAOMBA AMANI YA ULIMWENGU WOTE NA UMOJA WA KANISA LA MUNGU
Ush. BWANA UTUREHEMU
hya inatosha ila mkitang niendelee nitaendelea ila kwa sasa nipeni likes zangu tu😁😁
2026-07-30 18:42:08
3
Oscar Rafael :
ila sio lazima kukalili ni andiko gani mstari gani
kumbuka YESU alipojaribiwa kule na shetani alisema tu imeandikwa mtu hatoishi Kwa mkate tu hakuanza eti imeandikwa matayo sura ya ngapi mstari wa ngapi kikubwa useme kilichopo kwenye biblia
2026-07-30 16:31:25
1
Raphael Andondile :
maambolezoo
2026-07-31 11:50:09
0
To see more videos from user @accnuruyamaisha, please go to the Tikwm
homepage.