@sindano_show:

Sindano_Show
Sindano_Show
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 07:34:44 GMT
4585
342
23
4

Music

Download

Comments

shinji_kagawa26
Wolfgang 🐺 :
Been awhile since I last sipped my last glass. Kudos to you brother. I won this war.
2026-07-30 08:09:39
4
manest_city
Altoashlton :
brother nashukuru kwa elimu nzuri, unayotupatia. But nilikuwa naomba utupe elimu ya madhara ya ENERGY DRINK
2026-07-30 08:08:03
4
yusuphyahaya
Yusuph Yahaya :
fact
2026-07-30 08:36:41
2
shanga_asili
shanga_asili :
Leo nimefika liquor store af wakat nalikaribia duka nafsi ikawa inanisuta na kuniuma sana kuwa nakwenda kujiangamiza mwenyewe. Guess what? Nilipitiliza kama sikuwa naenda pale. Kisha nikaanza kutafta faida nilizowahi kupata kwa kunywa pombe na nikarealize nimeambulia kupoteza pesa tu
2026-07-30 22:26:22
0
user8394130829440
NANGA BOY :
nakufatiliaga sana lakini kwann mm bado nashindwa kuacha pombe
2026-07-30 17:56:09
0
ezekielbajuta298
E shuly :
mbona kama unakunywa
2026-07-30 10:32:31
1
last_born1000
The Goat 🐐 :
Kama umewai piga ivi mzee 😁😁
2026-07-30 10:05:34
1
universe_sendo
SENDO UNIVERSE :
Anco kila siku pombe iache kidgo basi tumeshakuelewa
2026-07-30 12:39:26
0
eliamaniloi
lino@79 :
ulishawahi kunuwywa pombe?
2026-07-30 12:41:42
0
andreawmana
andrewmana :
tunakunywa pombe hadi tuimalize ili tuviokoe vizazi vijavyo wasiikute
2026-07-30 14:13:00
0
phelcian.fely
Phelcian Fely :
kila kitu n kibaya ukikitumia kwa wingi kwahyo bro punguza ushauri wote tutazikwa hapa chini
2026-07-30 11:03:54
0
steven.jackson.ml
Steven Jackson Mlay Mlay :
sasa mbona kama unatufokea
2026-07-30 19:59:30
0
daudayrn
fujoboy :
@dizzo 😂
2026-07-30 19:06:16
0
To see more videos from user @sindano_show, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About