@jesusnmetz: Unaweza kumdharau kwa sababu ya mwonekano wake… lakini Mungu hamtazami mtu kama wanadamu wanavyomtazama. Je, una ujasiri kama wake wa kukataa sadaka na kuhubiri Neno la Mungu bure kwa ajili ya Kristo? “Lakini Mungu alivichagua vitu vipumbavu vya dunia ili awaabisha wenye hekima; na Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili awaabisha wenye nguvu. Tena Mungu alivichagua vitu vya hali ya chini vya dunia na vilivyodharauliwa… ili asijisifu mtu yeyote mbele zake.” 📖 1 Wakorintho 1:27–28 Usimdharau mtu ambaye Mungu amemchagua. Mara nyingi, Mungu hutumia wale ambao dunia imewadharau kuonyesha utukufu wake. 🙏🔥
JESUS & ME
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 07:38:02 GMT
Music
Download
Comments
blixdavid :
Alafu hutokaa umuone tena maisha yako niamini mkuu
2026-07-31 22:23:29
686
Nestory Junior :
Amen [Pray][Pray]
2026-09-18 09:16:03
0
MR:VIRAL🌍🇹🇿🇬🇧🇪🇺 :
NATAKA REHEMA ZA MUNGU NA SIO SADAKA👂🙌🙌🙌
2026-08-01 05:20:24
385
Aline biheze :
Hii ndo inaitwa "Yupo mbadala wako usinyanyue mabega mpendwa, Mungu anao watu wengi" 🙏🙏
2026-08-13 05:23:29
442
Precious love :
Jaman Yesu anarud soooon
2026-07-30 15:51:45
258
Jesus' girl💞 :
uyu bwana ni tajir sanaaaaa☺️najua hamtanielewa
2026-08-20 06:10:50
183
Habarinjema JAHSON🇹🇿 :
Yesu Mwamba siyo Mwamba???
2026-08-26 21:58:31
52
positive mind :
Mungu tuhifadhie huyu mtumishi wako 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-01 09:53:22
140
Kadala :
uwiiiiiiii naogopa Mimi🥹🥹🥹 nitajiteteaje km sitainuka kufanya kazi ya Mungu 😥😥😥😥 YESU nimekuona niwewe
2026-07-31 10:18:34
186
RIE MOEN :
YESU ANALUDIIIIII 🧎♂️🧎♂️🧎♂️🧎♂️KILA MTU ATUBU
2026-08-11 20:46:42
36
....tray jay🚥 :
eeeh mungu uliejuu mbinguni naomba mwisho mwema baba😭😭
2026-08-25 17:29:06
29
Fraha Joseph :
msafi wa roho si wa mwili🙏
2026-09-04 06:55:43
18
shaddy furniture point :
Mungu anipe nafasi hata ya kumwona huju jamaa... yamkini alie wahubiria msimuone tena bali maneno yake Natasha daima.
2026-09-04 04:08:25
6
BENJOLOM :
Bali walio na roho safi
2026-08-13 19:40:04
6
I_ AM🦋 CHOSEN 🌍 🫶🌷 :
NATAKA REHEMA ZA MUNGU NA SIO SADAKA😥🛐
2026-08-11 06:52:57
21
OFFICIAL Elvin🥰 :
mtu wakwanza kukataa pesa
2026-08-13 14:16:04
9
GEORGE ZAHIRY :
anavyo soma kama mimi vile😁😁
2026-08-18 07:11:48
6
Cryst😎 :
maisha ya dunia ni mafupi sana tuishi kwa tafakari
2026-08-24 12:49:01
5
Prince Daniel :
haki hii ndiyo injili ya mungu.mungu atukuzwe.
2026-08-13 17:10:43
7
John Mxhana :
Mungu ashaona bora atumie silaha zake za sirini maana wengine upigaji mwingi
2026-07-31 15:49:13
207
iam_Jen_ official 🍀📌 :
ukute huyo ndio Yesu alisema ataludi
2026-08-19 05:48:42
92
M A C K 🤠 🇿🇲 :
maneno haya nataka rehema ya Mungu sio sadaka "
2026-08-13 07:30:55
94
MulhatRaj :
Mungu nitumie na mimi
2026-08-24 08:25:00
8
TUZO JEROME TZ ✅ :
Msafi wa roho💪🥰
2026-08-04 07:55:47
24
Emma Muze :
alipitaga mmoja huku kwetu alihubir hadi nimeamua kubadilika ila sikuwah kumuona tena namshukuru MUNGU kwaajili yake 😭😭🙏
2026-08-13 09:13:02
125
To see more videos from user @jesusnmetz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.