Yes I agree Lakini eti wanawake wameota mtume peace be upon him amewaambiya kuhusu sheikh walid. I’m not against sheikh but nnaona Kama people will be mocking us waislamu whoever is watching this video.
2026-07-30 18:51:17
1
Rehema sanjari :
Allah amzidishie sheh walid
2026-07-30 14:49:04
0
user84839670491817 :
mtume Muhammad S.a.w
2026-07-30 18:38:42
0
IDRISS ULIZA :
mtu akimuota mtume 100% huwa ni mtume kweli
2026-07-30 13:15:56
43
Yaumu Juma :
mashanllah 🥰🥰🥰
2026-07-30 19:47:19
0
meddy47🙌🙌 :
me naisi walid ni mkubwa kuliko tunavo mzania ndio maana anapendwa na watu wa dini zote
2026-07-30 16:27:51
30
user6759781966111 :
Asante
2026-07-30 08:16:42
2
Abu Huda :
Alahu Akbar watu wanasiri zao na Muumba wao
2026-07-30 09:24:41
27
Hussein Mraja. :
Siri ya Sheik Walid ni vitu viwili
Ana helmu na simchoyo anawafundisha watu.. alfu hana dhulma yeye utenda haki...
2026-07-30 17:39:02
5
jumaaMartin14 :
Hilo linawezekana kabisa nawambia hilo linawezekana Allahu Akbaru mwenye, mungu atujalie kheri waislam wote insha Allah🤲🤲
2026-07-30 11:58:49
11
munaamchuzi :
jamani miyenataka kuolewa na shekhe walid jamani
2026-07-30 14:43:31
5
Bilal Sungita :
mung amlinde,amhifadhi sheikh watu
2026-07-30 08:35:19
17
Dr Swahib :
Alhamdulillaah nakubaliana na maneno yako mimi binafsi nishaona mengi kuhusu sh walid hakika anayo kheri na tunafatilia sana na kumtakia ulinzi wa Allah
2026-07-30 10:55:05
11
feyruz :
Muhammad swallah llahu alaihi wasalam
2026-07-30 09:46:12
11
wambi 05 :
Hiyo ni bishara ya kuwa sheikh amethibiti katika dini
2026-07-30 14:00:57
8
halimaomary545 :
Walai Mimi nimewai kuota Shekhe walid ananisomea Dua lakini nimekosa kumpa sijui nampata Vipi yaraby 😭
2026-07-30 09:59:41
12
oumar Hassan :
kuna watu wa mungu hapa duniyani wallah
2026-07-30 12:16:11
8
#T.I. General Prosperity :
Wale wanafki kwa Sheikh Walid bora waskie na hili, ama kwa Hakika me ndio naamin kama SHEIKH WALID sio mtu wa kawaida na haya yoote yanatokea kupimwa iman yake na Mola wake, na hata kukaa kwake kimya hiyo ni ishara njema ya kuzidi kujua kama yeye ni mtu mwengine
2026-07-30 17:25:43
6
kayzet :
sheikh Walid Allah akuhifadh yarrab 🙏
2026-07-30 13:05:07
8
Leyla Issa :
mashallah shekhe Walid mungu akupe mwishomwema
2026-07-30 11:32:45
6
DM36ixpower+ :
mimi mwenyewe namtafuta sheikh walid 🙏🙏🙏
2026-07-30 08:32:40
7
Ommy Decoration :
ukitaka kupima ona now anavyopendwa japo kachafuliwa.
2026-07-30 09:49:22
10
shami2022 :
dua Gani?
2026-07-30 19:35:08
1
kardama :
nimempa jina mwanangu kutokana na shekhe walidi kukutaja ww mursalina hvyo ntamleta umuone wajina lako
2026-07-30 17:57:01
3
@BJ....👌🌹 :
astaghafiru llah sheikh kawa malaika
2026-07-30 13:53:28
2
To see more videos from user @mwinyiamiraboubak, please go to the Tikwm
homepage.