@maishamagic_bongo: Aunt Ezekiel yuko tayari kufunguka ukweli wote kumhusu kwenye #MMBAList 🔥 🎬🎥 Ili uwe wa kwanza kupata EXCLUSIVE yote, usikose kutazama #MMBAList kila Ijumaa saa 2:00 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo Ch160 #fyp #whattowatch
Dstv muiweke international wote tuwe tunapna movies zenu jamani
2026-07-30 13:35:17
9
efootball :
mama iyobo
2026-07-30 15:39:48
10
Introvert :
mention names of lake found in Tanzania
2026-07-30 21:41:17
0
cute Aneth :
saut kama yangu😅😅
2026-07-30 11:51:22
5
Bibi dastan :
anayekeambia mchawi yeye ndio mchawi kwa sababu awajui wengine tunalindwa na nguvu za mungu akija kwako kiuchawi akishindwa anakwambia wewe mchawi achana naooooo dogoooo pambanaaaaa
2026-07-30 09:25:11
7
Ronely :
Aunt kasauti kanapendeza sana uwe mama mtumishi
2026-07-30 19:58:33
2
hawakassim225 :
kusagana je? nikweli au?
2026-07-30 14:17:10
0
Joyce :
mama kukii naomba unisaidie mtaji wa eflu 50000 niuze mboga mboga
2026-07-30 13:44:39
5
Sarah Bakar :
Nakupenda san aunt
2026-07-30 13:06:12
2
🌸Oliver Kim🌸 :
heee sjawah skia hayo... anyway usimhukum mtu km Hun ushahid
2026-07-30 08:06:14
6
✨️ inocent ~mummy~ ✨️ :
mshangazi
2026-07-30 18:44:44
1
Tiffer :
as nguo gani umevaa
2026-07-30 19:32:06
1
tajitooturnt :
Hiyo sauti ni kuhubiri
2026-07-30 19:22:16
4
Mnywaranda 0g :
Hahaha
2026-07-30 10:08:56
2
Malaika Joseph :
hhhh sahv mm silali kam sahvi n saa 8 ucku sasa inilale nipitwe maan tick tok ukilala2 una pitwa ap0naaaa
2026-07-30 22:59:54
1
Rabecca🇹🇿 :
nisaidiye mama
2026-07-30 14:23:56
1
To see more videos from user @maishamagic_bongo, please go to the Tikwm
homepage.