@terminatorjr2: 🦂ANANYAMAZA NA KUJIONDOA💣 Haanzi kupiga kelele.Ataacha kuingea na wewe kabisa.silent treatment yake ni kali kuliko matusi.Anakupa baridi baridi. 🦂KISASI CHA KIMYA Mara nyingi hasira yake haitoki mara mojaanaipanga.Anaweza kukufanyia kitu baada ya wiki mbili au hata miaka 10 ili akurudishie.Anadema "I NEVER FORGET ,I JUST FORGIVE LATER” 🦂ANACHIMBA NA KUKUMBUKA KILA KITU👀 Ubongo wake unahifadhi kila neno ulilosema miaka 3 iliyopita😂Atskukumbusha midtake ndogo ndogo ulizowahi kufanya.kumbukumbu yake ni hatari wakati wa hasira. 🦂MACHO YA NGE’ Atakukodolea macho .Hayo macho yanakuambia "nimekuona"ni ya kutisha na kuvuta wakati mmoja. 🦂ANAKATA UHUSIANO HAPOHAPO Scorpio hakublock😂anakufuta na kukufanya kama hakuwahi kukujua ni "KIFO NA KUZALIWA UPYA KWAKE”[PHOENIX].Anakata na kuponya peke yake. ❌JAMBO MUHIMU KUJUA👇 Scorpio hapigi kelele bure.Akiwa na hasira maana yake umemgusa mahali pa kina sans ,Akiwa na hasira na bado anazungumza na wewe maana yake bado anajali. ⚠️Like,comment,share kwa maudhui ya nyota zaidi📍 #scorpio #fyp #viral #foryou #viralvideo

Ladyme👻🫦
Ladyme👻🫦
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 07:57:25 GMT
3026
160
29
5

Music

Download

Comments

aggy926
Aggie 🦋🔐 :
Kam kuna group la scorpio mniung jaman
2026-08-02 08:38:58
2
mkizungo1
Mparemzury❤️🔒 :
huyu ni mm jaman sina kelele ninmachoz na ukimya ila comeback yangu weeee utaomba pooo
2026-07-31 09:33:36
3
hunsa.mijicho
Husna mijicho 💕❤️ :
Herufi H ieshimiwe bwana
2026-07-30 16:08:07
2
lina77976
lina chapa :
mimi apa🥰
2026-08-03 04:10:48
0
niverwilly93
Niver Willy :
TRUE100%
2026-08-01 19:31:34
0
hamidambeguzuberi
hamidambeguzuberi :
mimi huwa sisemi na wala sikujibu ila siku nikikujibu huta amini km ni mimi
2026-08-04 07:19:12
0
user9424921429458
caloliny :
I'm Scorpio 🥰
2026-08-01 12:38:05
0
zulfakiswili
zulfakiswili :
yeah
2026-08-02 10:28:12
0
ogchimamydy
🥀chimamy D🥀🦋 :
me kabsa huyu😂😂
2026-08-01 18:43:00
0
big.mama71857
big mama🥰 :
mhhh ni mimi huyu
2026-08-01 14:40:48
0
nasraabdallah83
Naaa :
ni mm kabisa hpo najiona😂
2026-07-30 19:45:10
1
hairun.mohamed6
Hairun Mohamed :
nipo hapa
2026-07-30 21:35:13
0
www.mdede.com3
QueeN G scorpion 🦂 queen 👑 :
🤣 🤣🤣 ni mimi
2026-08-01 20:04:46
0
hawa12043
hawa :
nimimi huyo
2026-08-01 08:25:54
0
madamvirutubishonafursa
Ongeza kipato :
nilivyo najiona
2026-07-30 17:43:01
0
nassrin042
nassrin :
yaani ivi ndivo nilivo kwakweli
2026-07-30 10:05:23
0
happyapple845
happy apple :
nimejicheka mimi
2026-07-31 05:06:58
0
annagideon4
Anna Gideon 🌺 :
umenimaliza kila kitu 😂😂 🦂
2026-07-31 09:15:53
0
hamidambeguzuberi
hamidambeguzuberi :
nikiwa na hasila huwa nalia sana tu
2026-08-04 07:19:34
0
_husner7
Chamaqueen_ :
mtu akiniudhi huwa nasema na nafsi yangu ya ndani tu. nikijitoa rasmi kwa mtu nikimpa mgongo mpk kuja kuiona sura yangu itapita miaka kadhaa
2026-08-01 21:32:48
0
To see more videos from user @terminatorjr2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About