@barcsel_apple_hub: Because you have a long way to go!😂💔 #sinza #zanzibartiktok🇹🇿 #bongofuntiktokers #trending

BARCSEL  iSTORE🇺🇸🛍️
BARCSEL iSTORE🇺🇸🛍️
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 08:02:35 GMT
70552
4270
349
1046

Music

Download

Comments

neema1054
neema :
mim nanunua niueni sasa😁😁😁
2026-07-30 16:10:59
109
bayern.munichen4
bayern munichen4 levakursen :
kwan nyie huwa mnanunulia wap??
2026-07-30 17:45:09
42
zenahmapochi4
Zenah Mwaruka :
me don keaaaaaaaaa
2026-07-31 11:05:08
0
shadee101
officialshadee⛎ :
weeeeee komaaaaa😂💔
2026-07-30 14:00:19
0
veemasali
vee :
ndo nipo nakwanguaa hapa hyo vocha 🤣🤣
2026-07-30 13:14:16
47
mariamkasanda362
mariam :
robo tatu ya dunia tutapumnzika
2026-07-30 14:09:55
7
user1199957916706
Kashato daughter :
Bando la Kusoma🤣🤣🤣🤣 tu komenti nimetoka kununua vocha ya buku
2026-07-30 18:27:33
4
its.asel54
its -asel :
eeh mi jana tu nimetoka kununua nisiseme uongo
2026-07-30 16:11:40
5
itslumi95
Lumi🤍 :
Yan cjanunua vocha Zaman jmn ya nmezsahau kbisaa za kukangua🤣🤣🤣
2026-07-31 12:10:52
1
baby_nana96
baby_nana :
hhhhhh jmn umenichekesha
2026-07-30 13:21:13
0
mbappe_khani
mbappe khan :
mm na.miaka 7
2026-07-30 14:32:13
0
mpemba20
Juma Hamadi☪️ :
nimecheka mpk nimekufa
2026-07-31 09:29:58
0
leilabakari348
rey wa momba :
kwaio ninunue sokon au
2026-07-31 14:11:25
1
teillertulip
stella :
sawa, zinauzwa wapi tofauti na dukani?
2026-07-30 18:46:10
1
golden_suka001
GOLDEN SUKA :
basi kesho ntaenda kununua kituo Cha polisi🙌,,mana kila nnachofanya mnanikosoa
2026-07-30 20:01:01
6
el_abalqasim
abalqasim :
wengne mbona tulishasahau kabisa kama kuna vocha😂
2026-07-30 19:32:26
1
chunchu.mercylen
J.A.G.I.Y.A.💜🌺 :
sasa nikanunue pharmacy au😂
2026-07-30 18:34:07
2
florakidoti2
Flora-kidoti :
kwan natakiwa ninunue wap mkuu??
2026-07-30 13:24:50
2
ianleya
Ian :
me kitambo sana sjwk yaan mpk nishasahai hd number za kuwekea
2026-07-30 13:13:19
4
robertmdoe
robertmdoe :
nyie huwa mnanunua nini kwani jaman🧐🧐
2026-07-30 19:07:22
2
hamiduhussein5
JUST-ME🐝 :
kitambo nimesahau dukani kama kunauzwa vocha
2026-07-30 16:49:03
2
secreateagender
secreate agender :
mm vocha nanunua sio kwa ubaya halotel laini ukiitengenezea lipa namba haiwezi poker muamala wowote wakawaida wala huwez kuunga vocha tofauti na ya kukwangu sasa kwann nisinunue vocha?
2026-07-30 14:49:53
1
To see more videos from user @barcsel_apple_hub, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About