@kmgtegeta: 🎥Huu Sasa ndio wakati Sunday Music Playlist #KMGTegeta #Sunday #munguniyuleyule

KMG TEGETA
KMG TEGETA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 08:02:36 GMT
18218
1284
37
60

Music

Download

Comments

thaddeus13
Baba manu :
a beautiful piece of art 🥰🥰
2026-07-30 12:07:27
0
evawella816
Eva wella :
waaaaoooooo
2026-07-30 10:41:01
1
olivermbuya.396
Dada Mbuya❤️ :
Dear kaka soprano you're well bless🥰🥰🥰
2026-07-30 19:55:56
2
maggiejoseph213
Maggietess :
kuna mtu single hapa asking for my friend
2026-07-30 20:59:06
0
naomi.tarus1
Naomi Tarus :
Anyone to marry me am single n searching
2026-07-30 23:14:38
0
carorodah
Carorodah :
Saprano ya huyo jamaa ni Moto🔥🔥🔥👌👌👌
2026-07-30 16:35:48
2
user6281462281520
ester💫💫 :
huyo kaka anayeimba sauti ya kwanza jamn....anaimba kwa hisia had raha
2026-07-30 10:15:39
3
dorah.manyilika
Dorah Manyilika :
ila waimbaji tunajikutaga jamani fikiria unaimba halafu muuimini anajaribu kuimba lakini hawezi kufuata nota hadi unamuonea huruma Mungu atubariki sana na vipaji vyetu tulivyojaliwa
2026-07-30 18:26:37
1
grace.kwadhi4
Grace Kwadhi :
Dah, nakumbuka nilikuaga nakaa karbu na waimbaji ili niwe naungana nao kwenda kutoa sadaka😂
2026-07-30 11:48:23
3
praxeda.kasama
Praxeda Kasama :
soprano 🥰🥰🥰
2026-07-30 18:29:12
1
gladevaristo479
Mhongole123@ :
daah kuna huyo boy anaimba sauti ya Kwanza adi raha🌹🌹🙏🏾
2026-07-30 13:01:50
3
choti.avexa
Choti Avexa :
nimesikia sauti 1 tuuuuuu ubarikiwe 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 my brother
2026-07-30 16:19:07
1
kiyesidickie1
D.I.C.K.S.O.N :
mimi pembeni nasmindikiza kaka kwenye uimbaji,mipigilio mizuri sauti ya kwanza
2026-07-30 13:41:03
4
joseph.mushy
Joseph Mushy :
napenda sana mimi hili vibe🔥🔥ipo siku mtafanya nihame nilipo nihamie tegeta😂😂😂
2026-07-30 18:41:40
1
user3588305306165
emmaq@machaa2005# :
daaaah i just feel it, barikiwa sana
2026-07-30 14:22:28
1
fravhy
fravhy :
fav song ...nturamah🥰🥰
2026-07-30 08:19:17
1
elizabethkatikiro
elizabethkatikiro :
hadi rahaa jamani uyo kaka sauti ya kwanza uwa ananikosha sana 🥰
2026-07-30 09:13:04
1
user7692462795395
black :
SAUTI TAKATIFU,,, najivunia kuwa mwanakwaya sauti yangu situmii kupigia umbea namuimbia Mungu @
2026-07-30 13:41:06
2
annastazia531
Annastazia :
kuimba raha jamanii🥰🥰hongereni
2026-07-30 08:09:11
1
heshuwavoicetz
ʜᴇsʜᴜᴡᴀᴠᴏɪᴄᴇᴛᴢ :
𝐍𝐈𝐈𝐌𝐁𝐈𝐄 𝐈𝐋𝐄 𝐘𝐀 𝐓𝐖𝐄𝐍𝐃𝐄 𝐖𝐎𝐓𝐄 𝐓𝐔𝐊𝐀𝐓𝐎𝐄❤️❤️❤️
2026-07-30 09:02:48
1
mujelly20
sally :
2026-07-30 17:51:49
1
danny.humble8
Danny humble :
𝑛𝑎𝑜𝑛𝑎 𝑚𝑚𝑏𝑎𝑏𝑎 𝑎𝑛𝑎𝑖𝑚𝑏𝑎 𝑠𝑜𝑝🤣🤣🤣🤣❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥✔
2026-07-30 19:25:08
1
ola.cathedral.kitui
OLA Cathedral Kitui :
Kazi safi wanakwaya wezetu vocals are on top🔥🔥🙏
2026-07-30 18:08:25
2
annamartin76
Manka🥰🥰 :
Kila kwaya inakija flani ivi mwenye sauti zote kama uyo apo alikua anasapoti sauti ya kwanza adi raha😂
2026-07-30 14:59:16
1
To see more videos from user @kmgtegeta, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About