better talk the truth and the truth shall set you free
2026-07-30 11:37:41
1
Irene @msoo :
welcome to Mombasa where it's everyone desire
2026-07-30 09:18:08
1
CLEMENCE MWACHALA :
wataita oyeeee,,,tumefikiwa Leo
2026-07-30 08:41:52
10
marthar :
Hiyo si poa it's her past before wakutane na hajamkosea bwanake
2026-07-30 09:17:34
6
Hussein Hussain Hussain :
inaitwa mombasa shida tupu😁😁😁😁😁😁
2026-07-30 08:28:25
4
Rafiki Chura :
Bora aniite mme wangu hio yatosha chenye majirani na marafiki mtasema hayaniusu. Nitamsameha mke wangu 👌🥰😍
2026-07-30 10:02:32
5
mercy mama2 :
comrade naye daah ni past yake aki 😳haja cheat hadi...
2026-07-30 11:25:35
2
Mama boy 👦 :
mimi kupedwa tenaa baada ya kuzaa,,,,nlijielezaa kilaa kituu,,jamaaa hakuaminii akaamuaa kwenda kwetuu kuthibitishaa,,mtoto akamuonaa,,Moyoo ukamtulia plz tusidanganyee hakuna sirii
2026-07-30 09:56:53
3
Nassor Monroe :
Bro alimstiri bbke wakambo na kuficha aibu yake pia.. Si kwa ubaya kukuficha Hilo... Huyu mkeo anakupenda kuwa na huruma msamehe tu...
2026-07-30 13:45:50
2
Harold Karisa :
kama ni issues za past hizo unaeza samehe ju kila mtu anayake yenye amepitia leo tumejipata hapa tuendelee tu kama Yale hayajajirudia toka tupatane it's okay
2026-07-30 14:18:10
2
Hon kenyanza :
bwana hiyo ni mambo ya kitambo kabula mjuane msamee tu
2026-07-30 09:16:54
3
Saumu Omary :
lkn si kila mmoja ana past yake jmn never judge ungeangalia t mesej ya toka wapatane hii nayo imeniuma
2026-07-30 09:09:27
2
Sarah :
Msamehee....ilikuwa past yake! Ata wewe una past bana
2026-07-30 10:51:23
1
Gidnorah Mwanyigha :
Jamani msamehe Kila mtu ako na past yake jamani
2026-07-30 09:29:37
1
S.H.A.R.O.N🇰🇪 :
hapa sioni makosa msamehe tafadhali,,,,
2026-07-30 10:07:55
1
msanifu :
nimeamini "mombasa rah kweli"....hamna ndoa ni raha tu....
2026-07-30 09:00:08
2
salma :
kosa.hakumwabiya.huyo.nimtoto.wangu
2026-07-30 09:41:11
1
radhiya musa :
jamani wanawake tusifiche watoto tuliyo nao na changamoto
2026-07-30 09:53:46
1
charlesondego620 :
sometimes opening Pandora box is not wise
2026-07-30 10:29:54
1
Rumba Kaginya :
ni mbaya but the lady anafaa kusamehewa jameni
2026-07-30 09:18:55
1
To see more videos from user @whatslife9916, please go to the Tikwm
homepage.