BABAANGU ALINISOMESHA MPAKA DEGREEBNA NIMEAJIRIWA … nilipo olewa mume wangu alitaka niache kazi niwe mama wa nyumbani imagine… BABA YANGU NDIO AMENAMBIA NISISHINDANE NA MUME NIACHE KAZI😳😳… nililia sana sana ila NDOA YANGU INA MIAKA 16 sasa sifanyi kazi ananihudumia mm na watoto na tuna watoto watano mungu amembariki kwenye kazi yake kila siku mungu anamjaalia kheri kwenye utafutaji huenda BABA ALINIBARIKI NA MUNGU AKANITANGULIA…. Nasema labda ila tupo ambao hatuingizi hata mia kwa mwezi na tunahudumiwa
2026-07-30 17:15:41
5
mama shadia ❤️❤️ :
Ndoa ndio vita yenywe😂😂😂
2026-07-30 11:35:02
8
Martunis Muyasari :
hawa ndio wamama pekee wenye upeo mkubwa asante sana mama mwenye maskio ameskia,hii ndio maana ya mama mtu mzima🙏
2026-07-30 14:59:44
8
marrygodfrey359 :
Huu ni ukweli mtupu mm natamn nijifunze namna nzuri ya kuishi nisije kuwa mjeuri kwa huyu mwanaume
2026-07-30 16:39:52
2
Mr esponsa boy :
nikweli maman
2026-07-30 10:27:59
2
MR Barbenda :
ndo mana wa jomba tunao nyumbani
2026-07-30 11:00:46
2
sheby mpiner.TZ :
wengi wao wamekuwa zero awasikilizi point za msingi
2026-07-30 14:02:17
6
Daniel Mchomvu :
wachache sana
2026-07-30 10:51:02
1
naby_artsTz :
sureee ukweli mchunguu
2026-07-30 11:50:48
4
rashid :
hakika
2026-07-30 11:18:50
2
Julius Sangija baiskeli :
Kweli kabisa mamaaa
2026-07-30 11:05:57
3
gavi@jr :
hapo Kanena ukweli mtupu hongela sana
2026-07-30 18:54:20
0
bornmaro_fighter :
hakika
2026-07-30 18:19:14
0
super boy :
bora mama umewambia ukwer mama unachokisema watoto unaudumia alafu wakikaa na watu wanasema atuhudumii yan wanazigua kwer yani
2026-07-30 17:31:51
0
math-Guru23€ :
wazaz wengi wanaalibu watt
2026-07-30 17:47:18
0
konoradipascali :
mama point zako ziko vizuri sana
2026-07-30 17:25:02
0
blessed generation :
Bora hata umesema jamani
2026-07-30 17:22:06
0
MŘ Îşmæl³9📿 :
mama chukua wigi lingine talipia mimi....
2026-07-30 11:35:56
7
young swaah :
tushaghaili hatuwaoi sasa
2026-07-30 16:21:29
0
user9419967698300 :
léo umeongo point hongera 🤣🤣
2026-07-30 17:10:01
0
Teshas.viviano :
mamaaa sa si umemalizaga hapo
2026-07-30 17:01:32
0
@NGASA SITTA@ :
👍👍👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-30 17:14:32
0
Sarah 🦚 :
mi ndo maana naombaga mungu anipe mwanaume atae niongiza nisimpande kichwani
2026-07-30 17:04:08
0
Alphonce Alphonce :
mama mawingi hujawahi feri🤝💯
2026-07-30 12:11:29
0
To see more videos from user @tibelatk, please go to the Tikwm
homepage.