Very true, during the reign of the Antichrist. Let everyone repent and receive Jesus. Messiah is Coming soon.
2026-09-14 11:16:21
3
Evaline Odhiambo :
MAY THE LORD ALMIGHTY HELP US.AND LET AS BE PEOPLE WHO ARE WHILLING YO BE HELP ,TUSIWE WAZINZI WENZETU.LET US ALWAYS REPENT AND TURN AWAY FROM SINS FOR THE MESSIAH IS COMING .AMEN
2026-09-14 15:49:08
1
pretty girl 😍💕 :
May the LORD JESUS remember us on the day of rapture.
2026-09-13 16:42:40
0
lucky gal :
aaah watufyeke tu tumechoka
2026-09-10 14:13:17
13
God is good :
tutakufa ndani ya kristo. amina
2026-07-31 06:29:42
451
Joynes Ajema :
mmmmll
2026-09-14 12:05:14
0
Upendo Mwakimage :
Mungu anijalie mwisho mwema na vita vitakapo Anza usiniache
2026-09-09 13:55:52
17
Lizzy sahan :
YESU ANIPE UJASILI NIFE KWAKUMKUBALI YEYE TU🙏🙏🙏.
2026-09-14 12:13:11
9
Debby🌸 :
This is so true kama unasoma Biblia vizur hutopingana na huyu mchungaji
kweli kabisa kaka angu ,,, Asante kwa ujumbe mzuri
2026-07-31 04:54:29
53
Mohammed Seleman :
shida hapa ni kuhamasisha watu wamkubal yesu badala ya mungu wa kwel tulosoma tunaamin kwel dunia iko zama za majaribu ila wa kumkimbilia sio yesu bali ni mumgu muumba wa mbingu na ardhi ndio anafaa kukimbiliw
2026-08-06 12:52:35
5
mamdo :
jamani msitutishe
2026-07-31 07:55:32
12
@kuloshamwamure :
Tuache kutishiana maisha. Hubirini uzuri wa Mungu sio kuwatisha watu ili kuwavuta huo ni utapeli
2026-08-05 14:20:16
7
👑Cyrus👑 :
me Yesu ndio Mwokozi na mlinzi wa maisha yangu,,,, ila vikija kabla sijachukuliwa Kanatamba aisee siwezi kubali kupigwa na Roboti
2026-07-31 07:10:49
8
Success Eliya :
Hiyo injili ya vitisho waeleze watu upendo wa Mungu
2026-07-31 07:25:52
9
Silas Fabian :
tumeesabiwa kuwa kama kondoo wa kuchinjwa ila katka Yesu tu nitauwawa sana🙏🙏🙏
2026-08-29 14:35:06
5
mermy.jox :
jaman mi naogopa, Mungu nifanyie wepes madhaif angu unayajua🙏🙏
2026-08-08 03:18:01
9
Erasmus :
Ni nini kitakacho tutenga na Upendo wa kristo.?
2026-08-03 16:06:45
6
Selina mchaga ogk45🌹🌼 :
hii ni kweli kabisa mimi naamini 💯
2026-07-30 09:37:43
10
Bett :
lakini Bwana Yesu Kristo amaniaidi hivi niwe mwaminifu ata kufa naye atanipa uzima wa milele ufunuo 2v10
2026-07-30 14:39:11
8
Neema Asenga :
mungu atupe mwisho mwema
2026-09-13 04:21:41
3
Juliah Ponga :
siwezi uliwa nkiona mimi
2026-09-09 11:46:51
0
jossy :
Wacha kuweka watu wonga ata kama tuko nyakati za mwisho
2026-09-13 20:13:26
4
shinje 33 :
mimi hata sasahivi naitaji hiyo alama ya mpiga kirsito mana hakuna kitu nisicho kipenda kama yesu
2026-09-11 12:44:25
4
To see more videos from user @allanwalestz, please go to the Tikwm
homepage.