Kitu kingine unachofaaaa kujuaaaa wanawake wote hawapo hvyo Ila Ukipata mwanamke mwenye hekima ya kukupenda n kukujali Mheshimu ; mahusiano n heshima ; kitu unapokiheshimu thaman yake hairinganishwiii n cchte ; Tujifunze kuchagua watu shh kuingia Kwenye mahusiano ; unapoanza mahusiano jua unabeba nafsi ya mtu ; kudate na watu wengi sio sifa Bali ni kubeba nafsi zitakazoongea na maishaaa yako kila unaposogeaaa mbele zile nafsi zilizonyongonyeaaaa n lile chozi lilidondokaaa kwa ajiri yako zitakuandamaaa wakati mwingine unahisi kw nn mambo yako hayaendi Kumbe n zile nafsi bado zakuandama ; MUNGU ATUSAIDIE KUPATA WATU SAHIHI 🙏
2026-07-30 11:15:06
11
Baadru__ :
Kama Unaamini Huyu Mwamba Ameongea Point Gonga Like Ukisonga 💙💪
2026-07-30 19:36:14
3
Chufu Li :
kwahyo hata kwenye wallpaper nisimueke?
2026-07-30 15:28:47
4
Ramadhan Abdallah :
bro nakukubali sana yaan unatoa vitu vizito sana an kiukwel najifunza vingi toka kwako
2026-07-30 12:00:18
3
De seventy :
na ndio shida yetu vijana wa siku hizi tunapenda sana kiki mitandaoni bila kujua tunauza future yetu wenyewe
2026-07-30 09:44:42
2
Ossie :
Sura kaka respect sana kwako
2026-07-30 11:04:35
0
Abdallah Saphania :
Sure
2026-07-30 14:02:20
0
immatheboy @ :
kaka umeongea point
2026-07-31 10:27:29
0
inocentlazaro986 :
Appreciation kwako kaka maana tangu nikujue 2025 mwanzoni nimejifunza vitu vingi kupitia wewe kaka.
MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU 🙏🙏🙏
2026-07-31 12:15:21
0
Charlesi Isaya :
daaaaaa! nimejifunza kitu kaka 🙏🙏
2026-07-31 16:29:26
0
𝐌 𝐁 𝐓 :
جميل جدا
2026-07-31 04:09:46
0
Nathan :
WAnawake
2026-07-30 14:44:20
0
Bazuu Ogg :
kabisa
2026-07-30 14:33:30
1
@Martister-G :
Bro Una Ushauri Mzuri Mnoo. P1 sana
2026-07-30 15:52:21
0
MÀÑŸÒTÀ ĴŔ99 :
Sahihi kabisaa fact sanaa ✍✅✅✅✅
2026-07-30 20:53:49
0
Ayman Jooh🥶 :
fact sana familia
2026-07-30 09:34:42
0
shinuna ♥️ ansufat ♥️ rakitic :
kka 🙏🏻
2026-07-30 18:43:13
0
Dagr Master :
Sahii kaka
2026-07-30 09:38:59
0
Ibavaaddy :
bro Kenny mm nakukubali sana kwa kuwa wewe ni mkweli na ukweli haupendwi mm nakukubali sana bro nipo pamoja na wewe
2026-07-30 09:46:44
0
Jef_Clo_Brands :
Vazi la Siri hii nimesepa nayo!! Mzee
2026-07-30 14:39:58
0
W :
sahihi
2026-08-01 02:28:30
0
MSHOLWA :
nakukubali san kaka
2026-07-30 11:09:43
0
⚡️🐎ALMAS✨✨ :
tunashukulu kaka
2026-07-30 10:38:18
0
Amos Ramadhani :
shuwa kabisa
2026-07-31 20:06:54
0
To see more videos from user @kenny_lifeteller0, please go to the Tikwm
homepage.