@jiunge.na.grand.m: #congolaise🇨🇩🇨🇬 #kenyansinqatar🇶🇦🇶🇦🇰🇪🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #fly #se

JIUNGE NA GRAND MATUTA
JIUNGE NA GRAND MATUTA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 09:46:22 GMT
7779
240
16
3

Music

Download

Comments

thabbyleetz
LEE :
Kwann mnataka kusaidia watu nyie ni wema sanaa ehh😁😁
2026-07-31 09:35:19
1
brightone.water
Brightone Water :
sio mr nice ai
2026-07-31 07:20:52
0
saidnkwera
saidoo :
niunge na Mimi nahitaji
2026-07-31 14:19:08
0
frank.mahenge11
PAPAA MKINGA :
kujidharilisha tu 😭😭
2026-07-31 13:01:20
0
user1992158381065juma
Juma Halifa :
hakuna kitu apo
2026-07-30 13:35:31
0
juma.muhanji
Juma muhanji :
huyo mr nice ingekua enzi za uwahi wake angetuambia ni free masons tungekubali lakini kwasasa hatuwezi kukubali huo utapeli wenu,maana kipindi kile alikua ni dimond kwenye mziki na alikua na kila kitu
2026-07-31 14:25:07
0
user87165034133692
user87165034133692 :
mataper awoooo
2026-07-30 14:20:05
0
salehalattas395
saleh sharif attas :
sasambu
2026-07-31 08:23:02
0
niitebabuu
niitebabuu :
hatutaki mafanikio jaman, sisi tumeridhika na kdgo chetu na tunamuogopa ALLAH, Nyie wenyewe hamna raha alaf mnatushawishi sisi matatizo, hatutakiiiiiiiiii, unafikir pumzi ikikata hayo mafanikio yatanisaidia nn
2026-07-31 07:44:18
0
..ark.mbwete
. ark mbwete :
awa nae wapewe D C A I wakomeshe mambo Aya mtu anaubiri vpi upataji wapesa bila sababu
2026-07-31 10:17:22
0
ayoub.rashid01
Ayoub Rashid :
Matapeli wote 😂😂
2026-07-30 15:04:49
0
mazombie4
Mazombie :
👌👌👌
2026-07-30 18:34:40
0
user2971819401507
Nadine mutuka :
🤣🤣
2026-07-31 15:28:45
0
To see more videos from user @jiunge.na.grand.m, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About