@yanga389: ๐Ÿ”ฐ๐Ÿ”ฐ๐Ÿ”ฐ๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›

Young Africans sports club
Young Africans sports club
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 09:48:12 GMT
187915
17461
293
132

Music

Download

Comments

evarist.eunice
EVARIST EUNICE :
kwani wapi tena kuna vita jamn nisaidieni au waliokunya jangwani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-07-30 11:00:00
153
sabrinah.shaban7
Sabrinah Shaban ๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ :
Kuna mmoja nimesikia amesema aaaaaaah๐Ÿ˜….
2026-07-31 05:40:57
17
benedict.masima7
DICT BEN FAMILY :
kama we mwananchi kwa mazoez haya unaamin YANGA BINGWAAA LIKE HAPA
2026-07-30 15:58:29
183
mctinny_event
mctinny_event :
haya ni mazoezi ya ligi yetu kweli? mimi simba mbaka naogopa
2026-07-30 16:00:11
38
....lkpj
OSBORN ELECTRIC TECHNICIAN :
pesa za GSM za moto kam Za azam buguruni
2026-07-30 20:52:26
15
neymaramos5
CHERKI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ :
umwaka akuna kukimbia rumba vya kubadilishia nduo
2026-07-30 17:26:27
6
user41peleus960207231808
peleus byalugaba :
sio mpira tu hata vitani wanaenda kwa walipofikia sasa
2026-07-30 18:44:58
20
user973959778194
Gadison msangi :
Hayo mazoezi nikwaajili ya simba walivyokunya jangwani kitaeleweka
2026-07-30 15:18:44
13
almasialmasi716
almasi ๐Ÿ’Ž :
kwani yanga inaenda kupigana vita gani mana nashindwa kuelewa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
2026-07-31 12:59:35
6
officialramso9ine
๐Ÿ’ซ Official Ramso9ine ๐Ÿ’ฆ :
piter mbn simuoni
2026-07-31 06:59:51
3
amanyohanashija
Amani Shija :
ninachopenda kuwashauri wana Simba msilete timu,๐Ÿ˜‚ Haya mazoezi ni ya kiyama ๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ’š
2026-07-30 17:46:12
10
vinny_jr30
Vinny@Jr :
Au simba tuhamie tu ligi ya zanzibar ๐Ÿฅบ
2026-07-30 15:54:23
11
princessteddy39
princess teddy :
Simba bora msilete team akiiii ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-07-31 09:36:44
4
rajyungeng
๐Ÿ‘‘๐Ÿ‘‘๐Ÿ‘‘ :
kama una ikubali yanga gonga like ap
2026-07-31 18:04:11
5
bennyalex245
young Zombie :
kumekucha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-07-30 21:46:25
2
user2832370724937
fatuma :
mwakani tena
2026-07-31 06:04:02
2
prianca2000
Itโ€™s Prianca๐Ÿง โฐ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ฐ๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ’œ๐Ÿ’ซ :
Mungu anaona juhudi piah๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿซ‚๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™๐Ÿพ
2026-07-30 19:38:54
6
wali.nyama3
wali nyama :
Yanga bingwa๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
2026-07-30 11:42:45
6
ibnyusuph16
ibnyusuph16 :
Hhhah wanaguna Tu et Eee ๐Ÿ˜‚
2026-07-31 12:42:48
1
msambaahalisi8
cute mumy๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿง• :
huyu coach tusipoagalia hata sisi mashabiki tutafanyishwa mazoezi ๐Ÿ˜‚
2026-08-02 09:41:22
3
unique.boy.1233
unique boy 123 :
Okello hapo yuko hoiii vibaya ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
2026-07-30 17:55:24
3
dr.tony006
Dr Tony :
buyaaa fastaaa buyaaa fastaaa watajambaa sanaa
2026-07-30 15:23:42
6
salhat75
salhat :
kwani mnaenda kupigana vita Iran au ni simba hi hi ya bongo
2026-08-01 07:28:21
2
kaznana0
kaznana :
Yanga Bingwa guys
2026-07-31 09:25:28
2
amanzizo1234
amanzizo :
wanasubili mazoez ya vifaru tu apo ili kuteketez ligi yote
2026-08-01 10:08:18
0
To see more videos from user @yanga389, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About