@fraverofficial: 🥺🥺🙏🙏 ##fravercever #fraver

fraver official
fraver official
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 09:55:49 GMT
156498
7371
136
85

Music

Download

Comments

scolachales678
ELOHIM 💞💞 :
anae olewa alikua mwamke wake ila walikua wameachana kitambo sana sas mwenzie kashaolewa na yeye Bado anahangaika tu pia kwa Sasa mahusiano yanamtesa
2026-08-01 06:02:22
19
user4967950181634
sedifer 💞🥰 :
mbn hvo jaman anasababsha na mm nalia sasa
2026-07-30 10:56:08
21
user1159170685751458
anjela Alfred :
nikiona mwanaume analia na sikia raha sana
2026-08-04 14:13:42
9
nandreah1004
Obyie~😘😍 :
Ukiona mwanaume analia Muombee sana..
2026-07-30 19:14:22
12
tofa.vunja.bei
MGENI.WA Mbeya. :
ukiona mwanaume amelia juuu kaumia sana
2026-08-03 10:43:54
8
user6762794667940
zahara :
Kwakweli pangumu nataka nirundi kijijini😭😭😭
2026-07-30 16:11:12
4
g.cute644
g cute :
pole kk utapata mwingine usijali anauma lakin ndo ishakua piga moyo konde
2026-08-01 19:25:53
2
tabitha.samson75
Tabitha Samson :
atakuwa ex wa bi harusi bila shaka
2026-07-30 17:41:31
3
celnpaul871
Celn :
hakuna kukata tamaa mpk mkatisha tamaa akate tamaa ya kukatisha tamaa💪💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏
2026-08-04 12:37:50
2
treciouskisoka4
Kisoka lady❤️ :
aliyemwambia aend n nani sas
2026-08-03 10:30:00
1
aisha3juma
aisha@@@ :
mm nilikwambia usiende huko unaona sasa mpaka unalia kaka yangu unanitoa machozi na mm😭😭
2026-07-30 17:42:27
7
halima46806
halima :
Pole jamn usilie pengine mungu hajakupangia huyo atakupa wako sahihi
2026-07-30 18:37:08
7
user3038242384176
Advera j :
kaaaaaa ndo wakilia nn sasa kaka
2026-07-30 18:06:11
1
annamarcomarjamar
annamarcomarjamar :
walia nn jamani
2026-08-02 05:29:28
1
husnaissa5837
husnaissa5837 :
hii maskini pole
2026-07-30 18:56:57
1
petronandrie
petro Nandrie :
dah polee Kaka angu😔
2026-07-30 16:40:47
1
anna46948
Anna :
si alisema amtaki
2026-07-30 17:35:38
1
haikafoy
Haika Foy :
kijan vipi tena
2026-07-30 13:06:32
1
beatrice.william86
Beatrice William :
mkaka wangu usilie
2026-07-30 15:47:19
1
rodaramadhan777
Roda Ramadhan :
pole kipenzi sikuizi hatulii tunapigakifuwa namaisha yanaendelea
2026-07-31 14:52:12
1
user5234719463186
user5234719463186 :
jmn arie erew atuambie na ss
2026-07-30 17:10:24
1
esternikodemu
esternikodemu :
nini tena jamiiii mumemufanyjee rafk anguu nyiee
2026-07-30 15:49:16
1
majay129
Bosslady❤️🥰 :
Watu tunapitia mengi
2026-07-30 11:27:26
1
tktok.comhappiephysician
Happie Medics 🩺💊 :
alikumbuka nin🥺
2026-07-30 10:43:15
2
To see more videos from user @fraverofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About