Welcome to Kenya....they remind me when I came to live in Kenya 16 years ago and it felt strange to eat ugali and the other food with hands. Now I have no problem, I enjoy cooking and eating ugali.
2026-07-30 19:30:42
0
Tonah :
Najua hainihusu ila jua Yesu anakupenda sana wewe unayesoma comments 👋
2026-07-30 17:19:08
63
villagegirl :
😂😂😂😂😂😂in english plz
2026-07-30 16:16:47
3
JoyceNambuye :
why are they shocked 🤣🤣🤣
2026-07-30 18:58:50
1
Mama T :
hawa wanafanya mchezo na chakula😁
2026-07-30 15:46:48
48
💕lizzy💓 baby❤ :
nachoka mm
2026-07-30 19:42:29
0
senior counsel :
ugali and cassava leaves
2026-07-30 12:44:28
0
Zawadi Masha :
Huyo mwengine namsikia akisem sitakula mm🤣🤣🤣🤣
2026-07-30 12:11:00
38
Moyo ally :
kwan unawatowa wap hao😂😂😂😂
2026-07-30 17:31:06
11
Geeh🦋🦋 :
sasa uwo ugal had uishe siwatatumia siku 3
2026-07-30 15:42:06
18
silent killer :
mtakula au muache ndio hali ilivyo 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-30 14:31:13
9
Aunt halymer🫦 :
kesho wape na mrenda 😁😁😁
2026-07-30 14:52:40
29
Mama G :
Nahis hasira mimi ndo nini hivo kuchezea chakula
2026-07-30 16:46:27
8
xaviershidiku :
wanaamni wakiendelea kula watapoteza hata maisha, ndyo maana mwenye vest kakataa kbsa kula😀
2026-07-30 17:11:01
10
Efatta Efatta h Efattah :
lakini mmeona huyo jamaa wa start ya blue vile ni mcute
2026-07-30 18:01:41
0
Ima the Big Boss 💰💰 :
ukienda kwa mama ntilie ukiulizia chakula utambiwa kimeisha umebaki ugali😳
2026-07-30 20:08:57
5
fadhaamtenga :
ungewapa ugali wa muhogo😅😅😅
2026-07-30 17:52:19
1
mejuly :
hata mimi sipendagi uyu samaki it's true hua ana nuka.🥰🥰🥰😅
2026-07-30 16:35:03
0
sophia 🇰🇪 🥰 🇬🇧❤️. :
kama ni me huyo jamaa wa rasta nala hao samaki wote niwaachie hiyo green 😂😂😂
2026-07-30 19:28:43
1
Binti meck💦💞 :
huu ugali nimeuona toka asubuhi haujaisha2😂😂😂😂
2026-07-30 16:35:06
3
user1248161582568 :
kigwada na samaki wa kiluma 🥺😂😂😂😂😂😂😂
2026-07-30 11:38:53
4
K'Owino :
kwani hawa majamaa hukulanga nini ?
2026-07-30 17:28:31
4
To see more videos from user @sam.charo5, please go to the Tikwm
homepage.