Nachowapendea sasa unawashauri vizuri Afu na hela hawaachi kutugawia 🤣🤣🤣
2026-07-31 16:20:35
18
nusra :
Huyu wangu sasa nilimuomba pesa ya kusuka kanambia me sio baba ako haya nikakaa kimya kesho yake kanambia baby nimekumic tukutane nikamwambia me sio mama ako kakutane na mama ako
2026-07-31 08:15:49
15
Director X :
hivi huyu jamaa alipotelea wapi?
2026-07-31 14:27:39
27
Sashfer 99🥰 :
saw kaka ila itafika kipnd utaelewa kwa nn wanaonga wenzio
2026-08-02 12:34:31
9
Vasco da gama :
sasa hii clip mbona umechelewa kukifikia
2026-07-31 15:36:15
10
hans (HONEY) mgiriki 💟 :
genius☺️☺️
2026-07-31 14:54:54
7
lovely grace :
nashukururu mungu mwanaume wangu ana sm ndogo ko bado ntaendelea kufaidi pesa
2026-07-31 11:56:13
7
Dianta Vibe :
zima hisia washa hela
2026-07-31 09:44:14
13
Dee young :
daah aya ni zaidi ya madini mkuu
2026-08-01 18:35:20
10
blessed man :
daaah oya nimerudia mara 10 na bad naendelea big up San bro daaah umegusa penyew an
2026-07-31 14:15:27
10
producerema291🤞 :
Uhakika
2026-07-31 15:53:23
5
1 venanc mugongolwa :
wao kaka shikamo nimependa
2026-07-31 10:24:37
5
COMANDO BOY :
kweri kabisa
2026-07-31 16:37:56
6
minah :
yan wanaume bhan kila mtu na lake
2026-08-02 11:32:34
5
happy Benedict :
Hakuna kuombana kwakifupi baasi
2026-07-31 09:56:31
2
Bernard Feruzi Bitumba :
nikweli kabisa KAKA. asante sana brown. Una ongeleya pointi kabisa kabisa. courage na kazi.
Wana penda Sanaaaa facebook na Instagram na tiktok. watu wengi wamesha angaliya
2026-08-01 11:51:24
7
Bravo Fanesti :
pamoja san
2026-08-01 18:28:38
2
malata son 1 :
thanks brother
2026-07-31 20:42:27
2
👣sh@h@t m£L°dy45👑👑 :
fact broo.💪
2026-08-01 19:52:32
2
MTEMI :
2026-07-31 18:35:17
2
bena sill :
Yaa hufai umupe
2026-07-31 12:32:28
2
Ismael Diabala :
izo
2026-07-31 14:50:38
2
To see more videos from user @madini_talk, please go to the Tikwm
homepage.