Daaah!!! niseme tu ukweli Leo umenikumbusha kitu muhimu kaka,hakika kiburi Cha uzima kilinijaa. Imefika mahali nikasahau kama Kuna yatima ingawaje wagonjwa Kila siku katika sala zangu ninawaombeaga sana.🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏😭😭🙏🙏🙏🙏🙏ubarikiwe boss wangu.
2026-07-30 12:50:26
18
NANA :
asante brooh
2026-07-30 14:21:33
0
user5045941354319irene focus :
tumeongea point brother
2026-07-30 12:45:55
0
@Cutedatty banker💦 :
inaongeza Imani sana wallah et😍
2026-07-30 14:22:22
2
mariam akyoo :
Asantee kazi yangu iyo ya watoto yatima nawapenda sana.