@kereticreative: Siku ya neema na baraka. Leo Kanisa limepokea mapadre wapya wa Jimbo la Moshi kupitia ibada ya kuwekewa mikono. Tunawaombea watumikie kwa upendo, unyenyekevu na uaminifu katika shamba la Bwana. 🙏⛪#creatorsearchinsights #kanisakatoliki #archdioceseofnairobi
Kelvin Godfrey
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 10:44:57 GMT
Music
Download
Comments
cosmas irene 48 :
God bless you always
2026-07-30 16:04:16
1
J@y Lastborn🫂🫀 :
padre prosper ni mfup jamn had raha😂🥰🥰
2026-07-30 17:36:59
0
Surveyor Tarimo :
Jimbo lenye mapadri wengi
2026-07-30 16:12:54
13
GG Store 🥰 :
Kuna moshi na kuna bukoba!! Yooooh! Haya majimbo kwa kutoa Mapadri wengi hawajambo 👌👌👌
2026-07-30 18:09:52
11
chichi Thomas :
Moshi mapadre wametosha sasa 😂😂😂
2026-07-30 13:09:46
10
Aggrey 2026.MUNGU :
duh.hadi raha jamani. mbarikiwe na matumbo yaliowaza.!!!🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-30 16:23:58
5
linah :
Hongereniiii sanaa kwa hatua mliofikia mungu awajalie he kimario katika utume wenu👏🏼👏🏼👏🏼
2026-07-30 12:00:43
2
Sen@Paul💯 :
mungu awaongoze kwenye utendaji kaz wao🙏
2026-07-30 15:58:51
2
E💖💕💞 :
Amen 🙏🙏
2026-07-30 15:44:56
1
winibritha :
mbarikiwe sana mapadre wetu
2026-07-30 16:06:10
1
B7691 :
wow
2026-07-30 14:56:27
1
ms-merry♥️ :
Hongeren 😍
2026-07-30 16:38:04
0
Mangala :
wamevunja recod kwa mwaka hu
2026-07-30 16:56:51
2
Monica Mashalo :
padri mrosoo wanao tunakutambua wana mahidaa wote tumsifu yesu kristo
2026-07-30 16:32:29
0
magreth :
asante mungu kwa zawadi hii mungu waongoze watumishi wako waweze kutuongoza sisi kondoo wako vyema
2026-07-30 16:34:29
0
Elizabeth Shirima :
Hongeren Na Mung awatunzee
2026-07-30 16:33:52
0
vaileth Melikiol 🇹🇿🥰 :
moshi oyeeee
2026-07-30 16:44:08
0
Frank Swai :
Amina
2026-07-30 14:13:11
1
Theresia :
nadadiki kwa kanisa moja takatofu katoriki la mitume 🥰
2026-07-30 20:23:59
0
eddywizy :
Moyo wangu wamtukuza Bwana na Roho yangu inafurahi🫡
2026-07-30 19:14:51
0
Nurat Omary :
Mbn mosh wanstoa san mapadre kun sili gn jmn naomben kujulishwa
2026-07-30 19:49:17
0
leticia daniel :
jaman mtupunguzie mapadre wengne waje uku jimbo la rulenge ngara
2026-07-30 20:16:05
0
rumejm :
Mungu awatangulie katika safari yenu ya utume
2026-07-30 19:47:59
0
Adelmaris Albert :
Hongereni sana Mungu awatangulie ktk utume wenu
2026-07-30 19:14:12
0
To see more videos from user @kereticreative, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.