@zeynahbrand:

Zeynah _brand👗🛍👠
Zeynah _brand👗🛍👠
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 10:46:14 GMT
333786
23040
1239
398

Music

Download

Comments

user7459111453297
babygirl :
Mi paka wetu alikua na urafik na mume wangu😂 akishuka tu tayar kashaenda kumpokea Alifarik mume wang alilia machoz ya ukwl kweli jmn🙌🏽
2026-07-30 17:32:32
453
deoda99
blessed man :
mm siyo muslim ila napenda paka sana
2026-08-15 17:41:06
7
binsharif7
Let's do this 💪 :
Mimi kulikua na paka nyumbani nikitoka kwenda msikitini Alfajir lazm anifuate mpka msikitni na akifika ananisubr mpka namaliza Tunarudi wote
2026-07-30 16:16:14
766
zamzam00374
zamzam00374 :
Ckuiz furaha zinapatikana kwa wanyama kuliko watu🥰
2026-07-30 16:55:29
1090
assriyyum
assriyyum :
mm kuna paka ananipenda yupo mtaan lakn naogopa paka jamn hata kumshika cjawah😂
2026-07-31 11:19:12
12
ogbrand45
QX 🧳🛫 🇹🇿 :
Wallah na kwambia kama yupo mpa leo mlinde huyo ni malaika trust me My Siste 🙌🙌🙌🥰🥰🥰❤️❤️❤️
2026-07-31 16:10:00
5
jo_himxelf
Johnson J :
Siku usipomuona utaumia snaa
2026-07-30 18:50:11
44
dapher04
Pher :
sijashawishika Bado sipendi paka kutoka moyoni
2026-08-13 01:37:07
14
jumaali804
Juma-ali :
wakwangu uy mwanangu anapenda kumbeba ila mm nkenda mpka road ananifata
2026-07-31 09:06:26
25
isackbruno1
Dexter267 :
😂😂dah umenikumbusha mbali paka wetunalikua anaitwa nana ikifika saa 12 anakuja kukuamsha mpaka uamke anaamsha nyumba nzima alafu yeye anaenda kulala
2026-08-05 04:56:01
28
faycbaby
faycbaby :
wakwangu alikufa ila namkumbuka sana🥺🥰
2026-07-30 18:14:16
51
66unknown0
Shams :
Mashallah wanyama hawa wana Barka sana hapo anakuja kukutilia Barka na kukuondoshea Hassad wallah una bakhti hali ya juu, Usiache kumpa chakula na maji
2026-07-30 16:21:54
478
abdillah63441
Abdillah6344 :
wang mm uyo
2026-08-10 15:23:49
7
kipinda770
ƁĪñ Ląđen :
fungua haraka nataka niende Facebook
2026-07-30 20:32:05
167
man.hashimu
Man Hashimu :
m nina wang nimwiz nampenda sana
2026-08-08 12:41:03
5
ghaitham_og
ghaitham_madonnah🌸❤️🦋🥀 :
Mungu ani lindiye paka wangu maana nampenda sana🥰ana nipa furaha kila niki mkumbuka 😌
2026-08-30 07:07:21
5
paci.akadaba
paci Akadaba :
Daaaaah maburuki wangu🥺🥺
2026-07-30 19:53:04
6
musa_tz5
MUSA _TZ :
hawa viumbe wanaupendo WA kwel sana
2026-08-04 10:27:34
8
official.galteeh
official galteeh :
mm wangu uyu hapa nikilala analala pembeni yang nikitoka nikirud analia nyau nyau🥰
2026-08-08 11:16:07
6
abdulymvungi
StuRt :
Cats they have interesting facts about hearing, kwanza they detect frequencies kubwa zaid hata mara tatu ya binadamu, wanao uwezo wa kukariri sauti, movements hata footsteps . Ndo maana hata ukifungua ofisi kama it’s familiar lazima aje. Likewise kwa watu waliocomment paka wanakuja kuwapokea .. it’s very sweeet 😂❤️
2026-08-08 11:25:59
5
khizer.daud0
Khaled :
paka kana una roho ya kwanin au roho mbaya huwa hajengi urafiki nawew hata sku moja so kwa dalili iyo kwako tuseme Mashallah 😁💗👊🏿
2026-07-30 17:31:21
7
tumapink1
Fatma Pink💕 :
mashaallah katika wanyama ambao nawapenda akuwemo paka ana tabia ya kumsoma mtu tabia ila unaishi nae vizuri ndio maana anakua na urafiki na wewe
2026-07-30 12:36:32
38
fareed_khamis
fareed-khamis :
mm huyu sio wangu ila ni paka alietupwa kizingo. nilimgaia kula siku moja tu basi amenizoea hadi tumekua marafiki. na kila nikienda kupumzika au nikiwa na safari za town lazima nimpitie na kumgaia kula. amenizoe hadi gari yangu anaijua akiiona tu anakimbilia namfungulia mlango anaingia namgaia kula analala kwa mda than nkiondoka ananifata hadi namrejesha. ni mkubwa sana. najiuliza nikimchukua kwangu sitomkwaza? amenizoea hadi imefika mda anakuja kujisugunua na shingo yangu. naomba ushauri plz
2026-07-30 20:59:08
44
ibtisamsaid761
nabina :
ikiwa huna tatizo kwenye duka lako bs nisawa lkn km unamitihani iyo sio paka😊
2026-07-30 13:03:22
6
nassor_23
Nassor_23😛 :
Wangu adeka uyu wata nikiwa njee anifat 😁
2026-07-30 19:08:38
14
To see more videos from user @zeynahbrand, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About