mwanamke anaweza kuvumilia hata miaka 20 ila siku akichoka ni vigumu sana kurudi nyuma
2026-07-30 14:14:20
212
Dad's daughter :
girls know your value and love yourself
2026-08-01 04:36:29
0
T catherine :
mim mme wangu alinichiti na mfanyakazi wa kazini kwetu nilivomuulizaa akanipigaa vibayaa sanaaa mpkaa nikazimia nakujaa kupata faham nina vuja dam sehem za sirii na mpkaa asaiv siwezi kubanaa mkojoo unashukaa wenyew mda wote juu alinipigaa na mateke tumbonii akaniharibu?? asaiv niko kwetu najiuguzaa 😳😳
2026-07-30 19:07:02
46
Alpharie :
point of no return
2026-08-01 08:56:45
0
unique_me17 :
A cheater is always a cheater 🤌🏽😌
2026-07-31 05:04:03
1
Samira Nassor :
cheating is a choice that is disrespect and the man has ego.
2026-07-31 05:41:43
0
light cuty💞❤️🔥💤🫦 :
asimuludie
2026-07-31 10:26:06
0
crocheterdeja :
Mungu atuepushe na hawa watu jmn🥺
2026-07-30 15:55:56
63
babydimpoz34 :
Wanahic kwamba tunamioyo ya chuma haihic maumiv wala haichok
bora ata ww umemshauri hvyo😂 maana mm ningemtukana
2026-07-30 14:51:06
8
😇Lovely bird 🕊️💕 :
mm sku block
nakuache unitafute mpk niwe high light kwenye simu yako
ntakata simu ,sms spokei,status utaview na like utasema.na kadi ya harusi ntakupa😅😅😅
najua namna ya kuwa Fanya vzuri mm😂😂
2026-07-30 20:39:54
5
MAMA ANJERA🦋 :
Hawajifunzagi aloooo😂😂😂
2026-07-30 16:50:49
20
Chubby :
Asirudi atapata tu sahihi
2026-07-30 12:58:20
10
Mss.Irene🌹 :
Huyo dada ni mimi 😁😁 sikumblock nikaendelea na life juu am happily married na mtoto juu
2026-07-30 14:24:14
9
Favouredgrace♡ :
Labda umtafute huyo dada umwambie kijana kafariki so asifkirie kurudi tena
2026-07-30 13:23:05
11
Sweetie ♥️ :
Na sio kwamba anataka kumrudia kwa sababu anampenda ila anaumia kuona ni mwanamke mzuri amemove on so inauma kuona hamlilii tena
2026-07-30 19:44:42
7
Queen🥰 :
Nani kakupa storry ya maisha yangu😭😭
2026-07-31 17:54:56
0
💗it’s anniemollel💞🥀 :
Na me ndo napoelekea sasa 😳😳
2026-07-31 05:01:25
0
🪄skye lee✨ :
yn akaze uzi ivyo ivyo hakuna kurudi
2026-07-31 07:30:28
0
To see more videos from user @chica_fourteen, please go to the Tikwm
homepage.