@steve.champion17: Kugongewa 🎮

Steve Champion17
Steve Champion17
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 11:30:45 GMT
93419
8855
168
391

Music

Download

Comments

giftchie7
Giftchie7 :
💯💯no surrender
2026-07-30 22:13:19
0
emanuelmselele
vms motor :
100/100
2026-07-31 06:36:16
0
bonganizungu73
bonganizungu73 :
jina langu niii steve champion...
2026-07-31 11:01:23
1
jerrylyimo1
jerrylyimo12 :
wanangu msisahau kuvaa sweta maana huku nje Kuna baridi hatari
2026-07-31 05:51:15
56
modri_king
MODRI KING🤴 :
mbona hamna comment ya wadada 😂
2026-07-31 07:18:32
2
sanga05115
SANGA⚡ :
fact broo🫡🫡🫡
2026-07-30 17:56:06
0
user725776375848
unknown person :
exactly 💯
2026-07-30 14:08:05
3
grevazernestgmail
[email protected] :
mungu nakuomba usirud kabla sijamuoa ester
2026-07-31 07:42:24
10
badnation821
BÄD NÄTIØN :
Kila mara nikiskia makala yako yananipa funzo kaka ubarikiwe sanaa 🙏🏻
2026-07-30 12:50:24
36
xrsteve
XR(steve( :
jamani mm nalikubali Sana Hilo biting linaloanzaga
2026-07-31 11:49:35
2
papamczo32
Pakistan 🇵🇰 :
kaka unacho sema niukweri ira mda mwingine una waumiza watu wa mtaan kwa maneno ya huzuni nakubar
2026-07-31 05:55:57
5
edo0441
✔WESTY° :
tunaotafuta coment za wanawake tujuane
2026-07-31 04:33:10
13
vinamadini13
🎨 Vina Artistry :
Kugongewa haina come back.. 🥺🥺
2026-07-31 04:38:04
4
jackson.michael211
J.Sparrow 26#🫰 :
Ila kugongewa inauma sana
2026-07-30 23:33:52
5
magical.magical4
Magical Magical :
karudisha mpira wapi??
2026-07-30 18:30:06
1
smart.boy_sauti.y
Smart boy_sauti ya mamlaka :
inauma sana ngoja tuendelee kujifukiza tu ndo kilichobaki
2026-07-30 13:40:13
17
ijlanasa
ijlanasa :
kaka unaongeya maixha yakwer
2026-07-30 13:42:21
4
jaksoni.elia
jaksoni elia :
broo naomba mmoja kwa heshima maana maisha yamekua magumu na hatuna connection sehemu yeyote daaah😭😭
2026-07-30 13:58:53
6
kizo.jr6
Broken heat 💔 :
sahii mzee
2026-07-31 06:15:53
1
iqramagic08
Nampela... :
Wanangu kama wew ni shabik wa kwel team yako hat ishuke daraj huwezi kuhama msisahau kuna kufungwa sare na kushinda yote ni matokeo
2026-07-31 06:25:02
1
mrsmile255tz
🐻🅼︎🆁︎ 🆂︎🅼︎🅸︎🅻︎🅴︎🧸 :
sahh steve
2026-07-31 05:11:48
2
chalyone.022
GKB296 :
tuko na wewe
2026-07-31 04:47:03
1
robinson.mathias
Robinson Mathias :
Ubarikiweee Steve 🥰🥰🥰
2026-07-31 04:39:48
1
user8012637402869
HILLARY KIBET KIPYATICH :
ukweli kabisa
2026-07-30 17:49:38
1
To see more videos from user @steve.champion17, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About