nikikumbuka nilikuwa nalia mpk nagara gara sina hamu na kuzaa mm nimenawa😅😅😅😅
2026-07-30 20:14:27
5
bettylove💞💞 :
iv ay mamb ni tz tyu au na kwa wenze2 uko
2026-07-31 04:30:59
5
teedollar306 :
Nimetoka kulia uck huu sa6 jmn😳 bila sababu
2026-07-30 21:21:18
12
BUSNESS WOMAN UBARUKU😎 :
nimecheka adi n8mefukuzwa kazi naombeni ml8ke jmn😅😅
2026-07-31 06:12:52
4
PAMBAIKA FASHION :
mi nilishawai lia kisa kala embe langu na nikampigia sim akiwa kazin aniambie kala lote kweli au akajib ndio nililia adi kwikwi😂😂
2026-07-30 19:56:42
6
Gentle girl :
nikiwa mkubwa nataka niwe kama ww😂
2026-07-30 15:32:33
15
lisper 🎶 :
Ukute mimba ndo imetak awe tikitok atuchekeshe😅
2026-07-30 19:12:26
7
Little Angel 🧕🌸🕊️ :
Ila mimba kiboko 😂😂
2026-07-30 17:26:28
5
🌹🌹🎂Reen💓💓💓 :
jaman jaman jaman😂😂
2026-07-30 16:10:56
7
angel kadinde :
ila mungu kaumb watu weng San vichekesho
2026-07-31 07:24:03
1
Princess Ayra :
Me nililia jamn kisa niliomba niletewe clips za ndizi za morogoro ye akaniletea za mbezi alf sas ndizi ziliiva wee nililia nikasusa miez 2 😂😂😂😂😂jmn mimbaaaaa🙌🏻🙌🏻
2026-07-30 20:46:40
0
Miss Emma🌹🥀🌹 :
ilinikuta jamani nililia iyo siku kisa mbaba Kala ndizi uliobakia ndani
2026-07-30 19:49:38
2
Rachel_Fashion :
😂😂😂 nashindwa kuelew 😂😂😂
2026-07-30 13:22:10
2
123 :
😂😂😂😂daaah
2026-07-30 15:53:57
1
Chugga-annie🤪 :
ila wewe😂😂😂😂
2026-07-30 14:37:06
1
🦋🍀 :
jmniiii nin lakini 😅😅😅😅😅😅
2026-07-30 12:28:57
1
gee🥰 :
2026-07-31 09:49:32
0
nellycutie8 :
ila anaonekana mzuri
2026-07-31 10:24:21
0
y.j :
sauti mtetemo naomba nikuone sura yk vzr pls☺️☺️
2026-07-31 09:52:03
0
Madam Celestine :
niue msichana 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
2026-07-31 12:19:07
0
To see more videos from user @am_jeesy, please go to the Tikwm
homepage.