Wakati wa Mungu kwenye taifa letu umewadia soon tutaona maajabu makubwa
2026-07-30 15:43:21
11
makasi :
Makamu wa Rais amezingua sana, angesubiri wakatiwake ufike.
2026-07-30 19:53:49
4
Rapture :
wenyew hata wafanye triki kiasi Gani ccm 2030 wasahau tu
2026-07-31 15:42:26
1
p.j .00 :
ccm wanachowazaga ni uchaguz tu si utatuz wa raia
2026-07-31 02:41:46
8
Gabba RG :
maadili ni kitu muhimu sana, kuwapa vijana madaraka ambao hawajaiva ni shiida, wengine wanapiga wazee lakini wanafikiri tumesahau,
2026-07-30 18:33:04
6
shukuru :
wewe hii dunia ni mapito
2026-07-31 08:42:24
3
gwahula Rukonda :
2026-07-31 05:31:59
1
josephat prudence :
yeye ndiye atashugulikiwa
2026-07-30 15:02:01
3
Mpenzu 🇹🇿🌹The Championship :
mh! nashindwa kuwaelewa hawa
2026-07-30 14:32:08
2
user296239672151 :
sojakuelewa kambisa
2026-07-30 14:30:44
2
prega :
umeongea facts Mtumishi 🙏
2026-07-30 20:08:18
1
karawa elly jaco :
kitu kizuri umekubali kuwa wananchi Wana matatizo
2026-07-30 15:29:18
4
user1798145369517🇰🇪 :
nashidwa kwarewa
2026-07-30 20:01:17
2
Gody adventure :
mnamshuulikiaje mueshimiwa
2026-07-30 20:59:18
1
mwakasingira :
mmmh
2026-07-30 19:54:32
1
rebekasanga5 :
Utashika wewe uongozi😳
2026-07-30 19:04:39
1
jofrey mwampote :
hatumi mtu duh 🤣🤣🤣
2026-07-30 16:20:36
1
duly :
alietoa nafasi n mwenyezi mungu tu huyo unaemsema sisi hatumjui
2026-07-30 21:30:27
1
dudu baya :
wananchi ndo wenye maamuzi
2026-07-30 19:14:08
1
user7261192568666 :
nimeamini maneno ya lissu kwamba mkimaliza kutushughulikia sisi mtaanza kushughulikiana ninyi kwa ninyi
2026-07-30 19:33:59
1
G.J.NYAMPANI :
TANZANIA YANGU KILA NIKIITAFAKARI KWA KINA NALIA SANA
2026-07-30 12:17:24
1
user6032120194803 :
Wanafunzi wetu endapo wakifuatilia Bunge letu na yanayoendelea kwenye nchi yetu kwakweli wanaweza wakakata tamaa kabisaa hata kusoma kwa bidii ooo Mungu tusaidie Amina
2026-07-30 17:16:27
1
To see more videos from user @official_kuhani_atson, please go to the Tikwm
homepage.