@jodangmc4: WANYAKYUSA WA KYALA GWAKUBWANYA TUISHI NA HII 👇👇👇 USIPITE BILA KUSEMA AMINA Na kufollow Ili usiwe unapit a na hizi mambo za mungu👇👇👇 #kyelambeyatanzania #wanyakyusambeya #follow_me #TanzaniaTikTok🇹🇿 #kenyaninusa🇰🇪🇺🇸 @IPINDA&NGYEKYE @JODANG MC PHOTOSHOOT 📸🎬 @NGYEKYE & MABABU @YOUNG BUSOKELO📸 @pande hydroxide @Paris Park @badyuzepastima @alpha @👑DMAC Tz🎧
Kuna raha kubwa sana kusikiliza wimbo ambao unaimbwa kwa lugha unayoijua na kuielewa. Am proud kuwa mnyakyusa, Hadi Roho mtakatifu unaona akiongea ndani kwa ndani. Kyala Atufigwege
2026-07-31 21:10:54
0
Fei Aidon :
bwana yesu naomba uzidi kwachilia ulinzi kwa wanyakysa ote aminaa
2026-07-31 13:15:02
1
LUKINDO MELELE :
daaah na mkumbuka mzee wangu pepuka Pauli daaaah dental mzee wangu ubarikiwe sans
2026-07-31 16:20:33
1
subiramwakajoka :
namkumbuka Babu yangu
2026-07-31 16:00:42
1
Emmanuel Alie :
daaa kyala mwene sote wa nyakyusa
2026-07-31 18:34:38
1
Doreen :
amen 🥰🥰🥰
2026-07-31 17:28:39
1
mrs masha :
Kyala abhasajheghe
2026-07-31 14:07:53
1
To see more videos from user @jodangmc4, please go to the Tikwm
homepage.