Kwa kweli nisiwe muongo sina mapenzi ya dhati moyoni mwangu nilikuambia nakupenda na kudanganya mm nahitaji tu maisha yangu yaende baaasi🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-31 06:50:02
8
Rbyct💦 :
😂😂😂 asante
2026-07-31 18:30:19
0
Win msagaty🦋 :
tupo wengi jmn mapenz shikamooooo
2026-07-31 10:08:01
5
M. MDOGO :
kama mm niko bizy na kazi t kutafuta sasampa maana mahusiani mm sina bahati kbs ila kwenye mafanikio ya kimaisha MUNGU ndio kanipangia mm nisimame hapo t asant MUNGU wambinguni sina mengi saidi ya asant 🙏🙏
2026-07-31 02:31:39
3
cute cute😘 :
anachekesha km umuelewi Ila km. unamuelewa atokuchekesha😅
2026-07-31 07:04:06
5
Reghan :
asantee masela tunyooshe hivo hvo wakuu😅😂😂 kila mtu atafute hela zake🤣
2026-07-30 21:45:01
1
Antidia Eliud :
naikajua nip mwenyewe kumbe tupo wengi
2026-07-30 16:58:51
11
Irene joseph :
jmn hiv naombeni kujua leo siku ya tano sijatafuntwa au ndy nimeachwa jmn daah 😂
2026-07-31 12:00:20
0
Khadija Shosi :
kwan mnaachwa mar ngpi wenet😅😅😅😂😂😂🥰🥰
2026-07-31 05:26:25
1
Khurty kharty DAUBLE"G :
Tuko wengi mapenzi yapo
2026-07-31 08:16:55
1
Emmy :
Asante mungu nimefalijika nikajua nimimi tu
2026-07-31 05:44:52
2
laty :
kabisa aisee,mungu atusaidie
2026-07-31 03:07:26
1
dotto :
Bora unisemee mm
2026-07-30 17:34:14
1
ASHLEY MACODE💔🦋 :
kabisa yani
2026-07-30 17:58:56
1
Abdul bu2 :
weny uzowefu wao wanasema hivi mmi nani?😁😁😁
2026-07-30 16:29:02
1
Me💕 :
mm kabisa mpka nisha give up😂
2026-07-30 19:48:15
1
moj2555 :
Mi nahitaji kujenga mwili kwanza 😂😂😂
2026-08-01 05:33:43
0
melina🌹 :
nmecheka kwa huzun
2026-08-01 06:05:49
0
To see more videos from user @mwangaza652, please go to the Tikwm
homepage.