nikikumbuka nilikabidhiwa mdogo wangu wa mwezi mmoja 2003 , nimemlea kwa shida na tabu ,
nimemsomesha kwa tabu kubwa leo yuko chuo ananidharau kama nini , najikuta nalia😭😭😭
2026-08-13 08:07:13
471
Gymar mtumbati :
naomba kujua maana ya iyo kitu kwnn anawalisha wenzake vipenzi,mana najikuta nasikia maumivu na huu wimbo
2026-08-11 18:04:51
64
Virginie Wayengo🦋🦋🌺💫 :
Qui a pleuré comme moi 😭😭
2026-07-31 06:28:08
362
Leel🪻 🩵 :
another day crying for strangers 🥹
2026-08-14 10:01:12
78
Jeanne D'arc Ishega :
Mungu wenjo baba wamayatima ,linda awa mayatima
2026-07-30 19:13:48
309
pros.nafaka :
am a pisces I don't know why am I cry although I don't know what is going on 😭😭 there ni movie au
2026-08-12 11:58:25
6
baby ᴍᴀᴍᴀ😘🤪💜❤💗💓💝🩷💞🫶 :
😭😭😭machozi yamentoka walahi
2026-08-01 22:19:59
71
Tatiane Kahasha :
Je refuse cela dans ma maison au nom de Jésus 🥺 trop triste
2026-08-13 13:58:15
19
user2557266674066 :
mungu amtie nguvu dada mkubwa jmn ,,neema na baraka tele zikawe juu yake
2026-08-12 18:59:39
179
008 :
Éternel accorde la longévité à toutes les femmes du monde 😭
2026-07-31 14:13:00
237
Mercy Nassary :
Mungu yupo nanyie atawalinda watoto wazuri
2026-08-02 11:52:15
32
🦋trice♍️kessy🦋 :
nkishasikiaga hii saut napatwa uchungu🥺🥺🥺
2026-08-11 22:03:36
41
mamu jacksom :
nimetkwa na machoz japo hajawai nikuta mungu nilindie wazizi wangu
2026-08-03 18:53:29
100
Thina Deriki :
jamani nimekumbuka suku mama yangu alikufa mim ndo nilikua mkubwa 😭😭nawadogo zangu 3 wamwisho alikuwa na meaka1 alafu mim ndo napewa yule wamwaka1 namim nina miaka kumi😭😭na wadogozangu wananipa chakula niwape nayule wa mwaka wakanibebesha mgongoni 😭😭😭😭
2026-08-13 05:54:45
61
Charity Dawa :
God of orphan will protect them 🙏 😢🥹😭😭😭
2026-08-20 18:13:46
0
🦋💦REYSHA💦🦋 :
mwaka 2016 niliachiwa mdogo wang akiwa na miaka 11 nashukur mungu now yeye ndo amekua kama baba nampenda sana huy kiumbe amenifunza meng
2026-08-14 08:08:24
30
Gee🌷 :
Mpaka nimalize kusoma comments machozi yote yameisha 🥺
2026-08-13 13:32:08
13
angela dimoso :
naumia mimi mwenzenu ehee mwenyezi mungu naomba uwalinde hawa watoto
2026-08-12 15:48:58
10
baby bryth :
mungu nakataa roho ya mauti kwangu nileewatoto wangu wakuwe nawatoto wangu wasije wakaniacha na Hawa wajalie avya njema waepushe na magonjwa😭😭😭
2026-08-28 20:01:50
7
shuu :
😭😭😭😭😭 Mungu wa mbinguni nipe umri mrefu niwakuze wanangu mimi uwiiiiiiii
2026-08-12 12:50:54
10
Brigiter Hans :
haya majukumu nimepewa miaka kumi iliyopita nikiwa hata cna kazi wala cjui pakuanzia ila nashkuru Mungu alinivusha salama niliweza kumcmamia mdogo wng mpk alipomaliza chuo na akapata kazi na amefungwa ndoa mwaka jana na sasa hv ana familia yake nyieee hii siku ctakaa nilisahau jaman 😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔
2026-08-10 16:02:56
33
Miss caviar business💃🏼 :
Seigneur permet que toutes les mères vivent longtemps ´car éternellement c’est impossible 😭😭😭