@mkwayaclinic7: Wanaume wengi hupunguza kunywa maji wakidhani itawasaidia kupunguza kukojoa mara kwa mara. Ukweli ni kwamba kutokunywa maji kunaweza kufanya mkojo uwe mzito zaidi na kuuchokoza kibofu cha mkojo, jambo linaloweza kuongeza usumbufu badala ya kuupunguza. Kama unakojoa mara kwa mara, mkojo unatoka kwa shida, au mkondo wa mkojo ni dhaifu, ni muhimu kutafuta chanzo cha tatizo badala ya kuacha kunywa maji. Afya yako inaanza kwa kufanya maamuzi sahihi. Unapata changamoto za kukojoa mara kwa mara au tezi dume? Wasiliana nasi leo 255657045331, kwa ushauri na hatua sahihi za kuboresha afya yako. . . . . . . #ElimuYaAfya #TibuChanzoSioDalili #ProstateHealth #WanaumeWajitambue #afya

mkwayaclinic
mkwayaclinic
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 13:09:51 GMT
1239
18
1
1

Music

Download

Comments

sweetmrundi
Ndahillah Tz :
chanzo
2026-07-30 16:58:38
0
To see more videos from user @mkwayaclinic7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About