@jukwaa.la.maarifa: ‎Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amezungumzia Juu ya Wanawake Ambao Awataki Kutimiza Wajibu Wao Katika Ndoa Kutokana Na Sababu Mbalimbali ‎Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amesema Wanawake Wengi Awataki Kutimiza Wajibu Wao ikiwemo Kufanya Kazi Mbalimbali za Ndani Kama Vile Kuhakikisha Mume Anafuliwa, ‎ ‎Baadhi ya Wanawake Wamekataa Kufanya Shughuli ikiwepo Kumpatia Furaha Na Amani Kwa Mume Sababu Mume Anapenda Kunyenyekewa Na Kupatiwa Amani Na Mke Wake ‎ ‎Endapo Mume Atakosa Furaha Ndani ya Nyumba Ni Rahisi Sana Kwake Kutafuta Mwanamke Mwingine Nje ya Mke Wake Ni Rahisi Sana Kuhamia Uko Anapopata Furaha Na Amani ‎

JUKWAA  LA MAARIFA🕌
JUKWAA LA MAARIFA🕌
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 13:40:16 GMT
2969
125
8
20

Music

Download

Comments

umary.hamadi
Zahra Mohammed :
shekhe mbn m sipo hvyo 🥺🥺
2026-07-30 17:37:37
0
proudlythirdborn
Muna🇸🇴🇰🇪 :
Muendelee kusingizia Wanawake lkn nawaambia ukweli kama Ni Tabia ya mtu huwezi kumbadilisha kamwe
2026-07-30 15:44:54
0
mrs.nofel2
Mrs nofel :
hem rejeeni nafsi zenu kila binadamu anamakosa si wa kike si wakiume unakutia mwanaume anakupiga matukio had unasarenda unabak kimya muna jukumu kubwa mbele ya Allah munataka uongoz madhalimu wakubwa walioongoka ni wachache khususa zama hz za ujahili
2026-07-30 16:29:37
0
ley5389
Ley :
mcha Mungu anaoa kihalali hachepuki na kawaida ya mchepuko anakua mtiifu ukimuoa tu tabia halisi zinajitokeza ukorofi uko pande zote mbili kufua sio wajibu hio sheria kaweka Mungu,Munga kashesema mwanamme atatafuta kwa jasho na hizo sheria kaweka Mungu usibishe hizo kazi kwa mwanamke ni ihsani tu
2026-07-30 16:11:40
0
mrs.nofel2
Mrs nofel :
sio kweli,wanaume ndio chanzo cha kila tatizo tunajitahid alhamdulillah lkn munaacha pasafi munafuata jalala tena mwanaume anaweza kukunyima unyuma wiki wiki 2 mambo yake,anamalizia nje munatuonea
2026-07-30 16:27:11
1
0615583481shaheen
S.S. ELIAS :
kama unampenda Mungu like hapa
2026-07-30 15:40:55
1
tei2861
Tei :
🥰🥰🥰
2026-07-30 15:36:28
0
dinhaji
dinhaji_43 :
👍
2026-07-30 16:06:46
0
To see more videos from user @jukwaa.la.maarifa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About