@theworldofislam0.1: Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amezungumzia Juu ya Wanawake Ambao Awataki Kutimiza Wajibu Wao Katika Ndoa Kutokana Na Sababu Mbalimbali Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amesema Wanawake Wengi Awataki Kutimiza Wajibu Wao ikiwemo Kufanya Kazi Mbalimbali za Ndani Kama Vile Kuhakikisha Mume Anafuliwa, Baadhi ya Wanawake Wamekataa Kufanya Shughuli ikiwepo Kumpatia Furaha Na Amani Kwa Mume Sababu Mume Anapenda Kunyenyekewa Na Kupatiwa Amani Na Mke Wake Endapo Mume Atakosa Furaha Ndani ya Nyumba Ni Rahisi Sana Kwake Kutafuta Mwanamke Mwingine Nje ya Mke Wake Ni Rahisi Sana Kuhamia Uko Anapopata Furaha Na Amani