@lovelyjux3: Matapeli ifek mahali mtupumzishe sasa na nyie watu mnao husika na mitandao nyinyie mnatup line za kaz nyie nyie unataka kututapel achen iyo michezo. kuna kampuni sita itaja inashirikian na matapel kwann nasema ivo yan mtu anakupigia anakutajia jina lako la wakala na code zako na anakwambia we niwakala mpya swali linakuja yeye kajuje we niwakala mpya lazma moja kwa moja utamwamini
Lovely massanja💫
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 14:11:53 GMT
Music
Download
Comments
emmanuelysiyantemy :
nimependa hiyo show case Yako dada naomba full picture bas inbox 📥 natak kutengenez show yang
2026-07-30 20:00:57
3
shuu :
naomb afu 3🥲
2026-07-30 22:45:50
2
B_ luxe sleepwear 🛍️✨ :
Oohhhhh😂😂😂😂😂 aseee pole
2026-07-30 22:26:03
2
Ms-Fatma✨🦋 :
Make sure unacamera akirudi kisije kukuramba shoo 🥹🙌
2026-07-30 21:58:14
0
sumeno 666 :
wowwo wee mungu akuzidishie akili zaid
2026-07-30 19:16:15
51
user7093692507453 :
hongera
2026-07-31 01:05:30
1
DermRhin :
Pole bbygirl 🥰
2026-07-30 23:48:09
1
Ashraph 21 :
Me sauti ya msimuliaji 2
2026-07-30 21:34:18
9
Neylove bongole :
Ongea harak hark ntk kulala😂😂😂😂
2026-07-30 21:30:14
7
calvin_69😈 :
genius🔥
2026-07-30 19:15:57
7
Mr Yohana :
Ahsante sana kwa taarifa nzuri
2026-07-30 20:50:01
5
Jasmin mohamed :
mimi ni bora mteja aende kabisaaa nitahesab pesa mara has mara 10 jinsi anavyonipa mpaka wanachukiaga niheri aondoke kama ana haraka😂😂😂
2026-07-30 19:54:40
9
isaya sanga :
akirudi kuchukua hela ita polisi...maana huo ni wizi
2026-07-30 20:11:27
5
Benard Seme :
watumie hela yao hiyo hiyo sio useme umepata lunch,,ihesabu uitume hiyo hiyo uliopo nayo,,
2026-07-30 21:11:32
9
vanillah🔥🔥 :
pole lkn mungu yu pamoja nawe anakulinda kwa mabaya
2026-07-30 19:51:09
19
Janepraise Jackson :
Na hapo hawez kurud ila kuwa makini maana wanaweza rud kivingine
2026-07-30 20:00:15
8
Trevor :
dada me niko single na tatzo la mim kua single ni vile sina hela naomba ata buku mbili basi🥰
2026-07-30 19:13:45
11
Recho Charles⚡⚡ :
umenifrahisha hapo tugawane Mwaya
2026-07-30 19:44:08
5
wardahussein :
siku nyingine mteja akikupa ivyo ela mwambie azifungue mwenyew
2026-07-30 21:03:46
9
pretty kidoty💞💖💝💕 :
hi kazi kama.huna moyo usifanye utalia akiii
2026-07-30 19:58:41
7
MAMA-kaju🦋 :
sasa ao mm nahis watajufwatilia sana ata kukutumia vibaka mda wowote kua makin mama angu🥰
2026-07-30 19:49:28
16
Anna_Mrondela :
akirudi tunaomba mwendelezo😁😁😁
2026-07-30 19:18:13
5
Era :
iyo ela yao ungeiifadhi sidhani km wanaweza kuisamehe
2026-07-30 20:07:07
9
chisumo :
mteja akikupa pesa akaiomba tena acha kupokea tena hiyo pesa mwambie sina pesa
2026-07-30 20:02:58
5
JIULIZE🙄🧿 :
Inabidi hiyo 2000 ibadilishwe hiyo rangi kwakweli
2026-07-30 22:04:29
5
To see more videos from user @lovelyjux3, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.