@uhondo.tv: Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema hakuna kanuni mpya kuhusu usajili wa wachezaji 40, bali ni msisitizo wa kanuni iliyopo tangu kipindi cha UVIKO-19 (COVID-19). Akizungumza na waandishi wa habari leo, Karia amesema baadhi ya watu hawajasoma vizuri kanuni hiyo, akieleza kuwa ilianzishwa wakati wa COVID-19 sambamba na ongezeko la idadi ya mabadiliko ya wachezaji (substitutions). Amesema kwa kuwa msimu ujao ligi itakuwa na ushindani mkubwa na ratiba yenye kubana zaidi, TFF imesisitiza klabu zisajili wachezaji 40 wenye ubora, badala ya kusajili idadi hiyo kwa kujaza nafasi tu. #UhondoMICHEZONI

Uhondo TV
Uhondo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 July 2026 14:39:23 GMT
11966
390
2
9

Music

Download

Comments

loningolaizarh1
Loning'o Laizarh :
hakuna kulialia wachezaji wameshoka
2026-07-30 19:18:49
0
user33435360569022
Charles🦁 :
tuzo
2026-07-30 15:26:13
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About