@islamic.channel5284: Ukipata uwezo wa kuoa mke mwema na mwenye kumcha Allah, fanya haraka usisubiri. Ndoa ni chanzo cha furaha na utulivu. Hata Nabii Adam alipokuwa peponi peke yake alipata ukiwa, ndipo Allah akamuumba mwanamke ili ampe utulivu. Utulivu wa mwanaume unapitia kwa mke mwema. Oa upate utulivu wa moyo. #islamic_video #islamic #viral #fyp #fypシ