cjapenda kwa kweli hii sio tabia ya kibinadamu mwenye heshima ya kutafuta mapungufu ya mtu kwa makusudi mimi shabiki wa simba ila michezo isiwe kitu cha kuzalilishana
2026-07-30 21:49:06
4
justerpastory💞💞🦁💪 :
Vipi tukikuchukulia sheria kwa kufanya hivyo
2026-08-04 09:02:55
1
rama b20 :
next
2026-08-10 12:36:19
0
John Luka :
🤣🤣🤣kwisha
2026-08-01 12:31:55
0
user9935005362045 :
hapo hakuna kosa ni biashara tuuu
2026-08-13 04:07:35
0
Hatikvah_514 :
Kisheria Unaweza kushtakiwa, Coz Umemrekodi mtu bila Ridhaa yake.
2026-08-02 20:27:07
0
Shaban Mussa :
Manager wa Mzee mpili ni Injinia Hers😄😃😄
2026-08-27 08:23:48
0
Mk@si# :
namba kesho
2026-09-10 04:14:57
0
Msomwa :
Mzee mpili Hana kosa lolote
2026-09-07 13:46:49
0
Jaymahh26 :
nguvu ya pesa
2026-07-30 20:41:53
2
user2818056596362 :
mzee amekukataa brother
2026-08-03 08:29:20
0
Doreenchama kibabage gueye :
ndo walivyo Wana yanga
2026-08-04 06:18:50
1
GODFREY Kandidus Lupindu :
Mzee mpili hapo hana kosa kabisa🙏🙏🙏
2026-08-14 20:19:44
0
barakafrancis53 :
Sasa shida iko wapi km ni biashala, yaani mtu aache kuingiza kipato kwa ajili ya mapenzi ambayo yeye binafsi anayajua.
2026-07-31 06:52:47
1
Ayoub Yusuf :
mpunga anaulizia?
2026-07-31 09:30:04
0
Halima Ahmed :
😂
2026-08-02 21:41:19
0
mwajuma566 :
huyo ndio mzee mpili
2026-07-30 19:59:07
0
self :
😂😂😂😂
2026-07-30 21:16:42
0
mwinyingwisa :
mzee kasema akaonge na viongoz wake kama watakubali kama kaeleweka
2026-09-12 23:57:32
0
Binti chamshama❤️ :
2026-07-30 18:47:08
0
Agu john🔥 :
masilai kwanza mapenz badae
2026-07-31 06:08:44
2
kidalipambe :
mimi nikiwa kama mtoto wa mzee mpili nitakuchukulia hatua ngj nione wakili wangu anasemaje
2026-08-03 10:29:17
0
Abdala Mpomabiva :
jamani hizi njaaaaa
2026-08-03 16:10:48
0
Elizabeth Thomas :
njaa mbaya sn jaman
2026-09-09 19:25:43
0
To see more videos from user @black_media_tz2025, please go to the Tikwm
homepage.