@madamconnecta: Mfumo wa automatic billing system una vitu viwili vikubwa 1.Router Kazi ya router ni kuchukua internet kutoka kwa internet service provider na kusambaza kwenye vifaa vingine 2.access point Kazi ya access point ni kuongeza umbali ya internet yako na pia unawekewa Mfumo kwa kupitia omada cloud Kwa mahitaji ya Mfumo wa automatic billing system usisite kutucheki mkuu #wifi #business #fyp #viral #EduTok